Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
we unaongelea wachaga wa machame huko,acha kuchanganya mamboπ
Kwahy aruxha so wachaga mkuuwe unaongelea wachaga,acha kuchanganya mambo
Hahah. Pengine EthiopiaUlijaribu kuwauliza baadhi ya uliofanikiwa kuongea nao kuwa wanatokea mkoa gani?
unaongelea Tanga ipi?
πππChuga kuna mademu wakali but wana meno ya njano sana na huku nyuma wana tuvitako tudogo hata kwenye viganja havijai,nliwahi mpata mmeru mmoja akitoka USA kule juu kwa manguchi anakuja Mianzini kufuata dololo yangu ,yule nlimuelewa sana Luv u Rose wherever u are!!
Wadau,nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi flani hivi so natural wana figure nzuri,halafu waelewa na wajanja tofauti na wanawake wa Dar wengi wana uzuri wa kujitengeneza na wezi wezi tu,wanawake wa mkoa gani we unaona ni waZuri zaidi ya Chuga?
Taabu dental colorsWadau,nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi flani hivi so natural wana figure nzuri,halafu waelewa na wajanja tofauti na wanawake wa Dar wengi wana uzuri wa kujitengeneza na wezi wezi tu,wanawake wa mkoa gani we unaona ni waZuri zaidi ya Chuga?