Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu.
- Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani
- Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida.
- Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine
- Hauna moshi
- Kinyesi kinachotengeneza mkaa huo kinakuwa kikavu kama keki