Picha tafadhali kimba hili hili.
Unakaushwa na kuua vijidudu kwa nyuzijoto hizo ili uwe salama kuushika na kuutumia.Kutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu.
NB: sijaelewa vizuri aliposema unatengenezwa kwenye nyuzi joto 450
- Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani
- Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida.
- Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine
- Hauna moshi
- Kinyesi kinachotengeneza mkaa huo kinakuwa kikavu kama keki
Sasa hicho kinyesi cha binadamu ni kile kilichotuama chooni au kile kipya kinachoitwa kimba/shonde au uharo?
Sukari guruAsante Mkuu
Molasesi ni msamiati kwangu
Duh...... haya endeleeni na ubunifu. Mi ndio maana sili majumbani kwa watu. Na nikija huko Arusha nakuja na jiko langu kabisaaaaaaaaKutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu.
NB: sijaelewa vizuri aliposema unatengenezwa kwenye nyuzi joto 450
- Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani
- Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida.
- Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine
- Hauna moshi
- Kinyesi kinachotengeneza mkaa huo kinakuwa kikavu kama keki
Najaribu kuimagine ile hatua ya mwanzo sasa kwamba mizigo ndio hiyo hapo imeletwa sijui kwenye mapipa...damn!!!
AsssseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNajaribu kuimagine ile hatua ya mwanzo sasa kwamba mizigo ndio hiyo hapo imeletwa sijui kwenye mapipa...damn!!!