Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Huyu anaenda kuozea jelamsimamizi wa kiwanda bubu kinachozalisha pombe kali na kumkuta akiwa na vitu mbalimbali ikiwemo stika 340 za TRA, chupa 483 za pombe kali, mtambo wa kutengenezea pombe hiyo pamoja na pipa lililojaa pombe kali lita 250.
Kwani jela kuna wadudu wanaoozesha watu??Huyu anaenda kuozea jela
Apewe tu leseni na alipe kodi ya mapato mambo yaishe.Huyu anaenda kuozea jela
Pombe kali isiyokuwa na jina ni pombe gani isijekuwa chang'aa#HABARI Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Sakina ambaye ni msimamizi wa kiwanda bubu kinachozalisha pombe kali na kumkuta akiwa na vitu mbalimbali ikiwemo stika 340 za TRA, chupa 483 za pombe kali, mtambo wa kutengenezea pombe hiyo pamoja na pipa lililojaa pombe kali lita 250.
Yeye ndiye aliyepaswa kuanzia SIDO kisha kupewa maelekezo ya nini cha kufanyaSerikali makini ingemsaidia huyu kwa kuiboresha bidhaa yake.Ktk Karne hii tunajitaji watu wabunifu km huyu mwanamke.
Alipokuwepo Jiwe hamkutoa maoni ya kijinga kama hayaApewe tu leseni na alipe kodi ya mapato mambo yaishe.
Ukiona hivyo ujuwe kuna baadhi ya watu wamemsusia Mama Nchi,hadi police hawana tena morali ya kazi zao ndiyo maana unaona na ujambazi nao umerudi kwa kasi sana! Tosomeni alama za nyakati,Mambo yamebadilika ghafla Tanzania na Majambazi yanajaribu kutupa ujumbe flani hivi!!Alipokuwepo Jiwe hamkutoa maoni ya kijinga kama haya