FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Hakika baada ya mji wote kuteswa na kunyanyaswa na DANGOTE Kijana aliyezaliwa mwaka 2005
Nachelea kusema Wanawake na Wanaume wa ARUSHA wote ni ma ZUCHU tu
Yule mtoto alikuwa sio wa kusumbua popote yule alitakiwa kupigwa na vijana wawili tu
Nimesikia na kuona VIDEO clip ya FIDOVATO akitamba baada ya DANGOTE kufariki nikamuona ni muimba taarabu tu na anaonekana alikuwa analala saa moja kabisa kumuogopa DANGOTE MASTER
Arusha punguzeni midomo na kuvaaa oversized clothes