FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
- Thread starter
- #21
Upanga ya enzi izo watu waliishi ki gangsterI wish siku nikakae nione/nipate experience ya life la Tanzanian Gangsters [emoji1787] .
Baadhi ya places ukiishi lile tifu la gangsters sio kitoto,Silaha sio visu pekee na watu wako na crew ya kushiba na hata wakikuangalia wanajua aaah huyu hamna kitu,
Kujichanganya huwezi yaan unaishi kama uko kanisani masomo ya upadriiii