Upanga ya enzi izo watu waliishi ki gangsterI wish siku nikakae nione/nipate experience ya life la Tanzanian Gangsters [emoji1787] .
Baadhi ya places ukiishi lile tifu la gangsters sio kitoto,Silaha sio visu pekee na watu wako na crew ya kushiba na hata wakikuangalia wanajua aaah huyu hamna kitu,
Kujichanganya huwezi yaan unaishi kama uko kanisani masomo ya upadriiii
TamaaNdiyo kilichomuuma Dangote
Daah sema wapo jamaa waoga hao utadhani wao hawarusiwi kutumia siraha yeyote huko Unga Limited ukipita mchana vima wanakushangaa huyu jamaa anajiamini nini au pana sehemu inaitwa Cheka ung'atwe ina balaa sana...Kitendo Cha fidovato kulazwa saa 1 usiku kimeniuma sana tu
Enzi hizo,mwaka gani?Upanga ya enzi izo watu waliishi ki gangster
marhabaah!Sawa tu shikamoo
Na suruali yako yakitambaaYaani hao watu nmewashusha vyeo kabisa Mimi ni uyo nilionesha middle finger unazani uyo shoga dangote angenipiga? View attachment 2822612