Arusha kuna harufu ya Mgawo wa umeme

Arusha kuna harufu ya Mgawo wa umeme

Saidama

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2022
Posts
598
Reaction score
1,151
Umeme umekua ukikatika mara kwa mara hivi sasa. Jana (15/06/2024) umeme umekatika saa mbili asubui na kurudi saa moja jioni.

Leo umeme umeshinda siku nzima ila majira ya saa kumi na mbili jioni umekatika (ratiba kama ile ile ya mgao).

Hili linakuja bila taarifa yoyote kutoka Tanesco kuelezea ni nini kinaendelea. Je ndo tumerudi kule kule? Hizi taarifa kwamba tuna umeme wa kutosha ni uzushi?!
 
Mmeanza kuleta tsharuki zenu sasa. Nyie semeni umeme unakatika msikimbilie kuna mgao.
 
Siyo harufu...ni mgao wa umeme umeanza....navyoandika hapa umeme umekatika
 
Back
Top Bottom