PreGE2025 Arusha kuna nini, Kwanini kila kitu kinafanyikia huko?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hiyo ni Ngome ya CHADEMA, na kama Uchaguzi utakuwa wa HURU na HAKI hilo Jimbo la Nabii Lema linarejea, hata kama CCM itachinja Ng'ombe milioni kumi na kugawa minofu ya RUSHWA bure kwa Wanachuga.
 
Umekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende kihehe
Umekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende spain vip
Umekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende kiarabu
Umekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende Kiwanji
Umekuwa makini kwenye Jamii ya kiswahili twende Kibena
Twende kimakonde
 
Lengo ni kuvunja Ngome ya chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…