Arusha ni watu wa mihemko sana, Ila Huo mkoa uwe na mbunge Kichaa au mzima lazima serikali iweke Nguvu kubwa kuuendeleza mana Ni mkoa unaochangia Pato kubwa la taifa kupitia utalii na pia ni jiji la kimkakati kwasababu ya uwepo wa Makao makuu ya East africa Ivo mbunge hana effect sana, Government must invest kweny huu Mji
Watu wa Arusha ni very emotion imagine ile kulishwa nyama na Publicity ya Makonda ndio wameona anawafaa bure kabisa hao warusha