KERO Arusha kwenda Moshi wamiliki wa magari ya kusafirisha abiria wamepandisha nauli maradufu. LATRA mko wapi?

KERO Arusha kwenda Moshi wamiliki wa magari ya kusafirisha abiria wamepandisha nauli maradufu. LATRA mko wapi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Kipunguny

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
768
Reaction score
996
Ni kero kubwa kwa wasafiri kutoka Arusha kwenda Moshi. Latra wameruhusu wamiliki wa bus za abiria kuumiza wananchi kwa kupandisha nauli maradufu.

Tumezoea tukipanda bus kubwa kutoka Arusha kwenda Moshi tunalipa nauli tsh 5,000 na coaster tunalipa tsh 4,000.

Leo jioni hii wanalipisha nauli tsh 10,000 kutoka Arusha kwenda Moshi au iwe unashukia vituo vya njiani nauli ni hiyo hiyo.

Latra mpo wapi haya yote yakitendeka!?
 
Ni kero kubwa kwa wasafiri kutoka Arusha kwenda Moshi. Latra wameruhusu wamiliki wa bus za abiria kuumiza wananchi kwa kupamdisha nauli maradufu. Tumezoea tukipanda bus kubwa kutoka Arusha kwenda Moshi tunalipa nauli tsh 5,000 na coaster tunalipa tsh 4,000. Leo jioni hii wanalipisha nauli tsh 10,000 kutoka Arusha kwenda Moshi au iwe unashukia vituo vya njiani nauli ni hiyo hiyo. Latra mpo wapi haya yote yakitendeka!?
Nunua gari yako uondokane na kadhia kama hizi

Ahsante
 
Back
Top Bottom