Acha kuonyesha ujinga. Mtu amebakia mioyoni mwa watu kwa matendo mema ni mtu anaishi. Waovu na wajinga waliyochukizwa na matendo yake mema watajidai kusema amekufa.Dizaini ya watu kama nyinyi huwa ni hasara sana aisee. Hebu mjibu mwana CCM mwenzako hapo juu, kumchafua mtu ambae ameshakufa inasaidia nini?
Na useme wazi wazi kuwa Rais Samia anamchafua Magufuli maana ujinga wote wa huyo unaemtetea ulianzishwa na Samia.
Okay hajafa bado anaishi, umefurahi sasa? Bado anaishi kuwa na amani.Acha kuonyesha ujinga. Mtu amebakia mioyoni mwa watu kwa matendo mema ni mtu anaishi. Waovu na wajinga waliyochukizwa na matendo yake mema watajidai kusema amekufa.
Mchafu hachafuki. Magufuli alikwishachafuka muda mrefu kwa kumiliki kikundi haramu ndani ya Serikali maarufu kama "wasiojulikana". Na washirika wakubwa wakiwa Paul Makonda, Ole Sabaya, Musalika Makungu nk.Mabeberu wanajua kazi aliyofanya Magufuli Tanzania miaka takriban sita kama Rais wa Jamhuri na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na kabla ya hapo miaka kama 20 kama waziri...
Wewe kweli kibwebwe. Una akili ndogo sana!Mabeberu wanajua kazi aliyofanya Magufuli Tanzania miaka takriban sita kama Rais wa Jamhuri na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na kabla ya hapo miaka kama 20 kama waziri...
Naona wamekupa like wajinga wenzako ππMagufuli amekufa kwa kukosa maarifa ndugu. Alisoma shule lakini obviously hakuelimika!
Bora mimi mjinga - tafsiri yake ni kuwa naweza kufundishwa nikaelewa.Naona wamekupa like wajinga wenzako ππ