LGE2024 Arusha: Mbunge Ole Shangai alivyokumbana na Wananchi Ngorongoro wakimtaka aondoke Kituo cha Kura Endulen

LGE2024 Arusha: Mbunge Ole Shangai alivyokumbana na Wananchi Ngorongoro wakimtaka aondoke Kituo cha Kura Endulen

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Hapa mori ilipanda

Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai, alikumbana na hali ngumu jana katika kijiji cha Nasipaoriong, eneo la Endulen, karibu na kituo cha Ormekeke. Wananchi walimtaka kuondoka haraka na kumzuia kuingia kwenye kituo cha kupigia kura.

Back
Top Bottom