Kuna mhudumu wa baa alikuwa ananihudumia, bahati mbaya au nzuri akanikubali akawa ananihudumia (plus watu wengine). Ana bastola kabisa maana mida ya saa 8 usiku kuamkia leo wakati tunataka kutoka nikakaa nae karibu wakati anatoa simu nikaiona kabisa.
Aina yake ni Bereta.
Sikujali, nilimalizana naye baadae,
Hajanidhuru hata kidogo.
Atakua jambazi tu, CIA wenyewe dunia nzima wapo 20,000, tu.
Sasa idara ya kusambaza vijana kila baa,idara gani hiyo na inalipaje maana grocery zipo kwa malaki nchi nzima.
Unadharau kwa vile ni muhudumu? Intelligensia wako kila kona kwa wanywa kahawa, vijiweni, mabaa maid, daladala, mabasi ya mikoani. Utawala huu ni kama utawala was nyerere
Atakua jambazi tu,CIA wenyewe dunia nzima wapo 20,000, tu,
sasa idara ya kusambaza vijana kila baa,idara gani hiyo na inalipaje maana grocery zipo kwa malaki nchi nzima