Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

Chadema sasa rasmi imetwaa jimbo la Arusha...............Hili halina ubishi.........Katangazwa rasmi......
Kwa nini lakiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, acha kuturusha roho jamani, afadhali useme kweli tuendelee kuomba.
 
Kwa majonzi na masikitiko napenda kuwtangazia kuwa hatimae Dada Batilda atakua mbunge wetu hapa Arusha, yaani sijui nini kimetokea... Lema chali tena
 
acheni uzushi. Jamani mods deleteni hizi post za uzushi!!?!!!
 
Kwa majonzi na masikitiko napenda kuwtangazia kuwa hatimae Dada Batilda atakua mbunge wetu hapa Arusha, yaani sijui nini kimetokea... Lema chali tena

(Kama ni kweli) Nchi hii ya kisanii sana.

I'm sure Kikwete na timu yake watajuta kuiongoza Tanzania kwa miaka mi5 ijayo
 
Kwa majonzi na masikitiko napenda kuwtangazia kuwa hatimae Dada Batilda atakua mbunge wetu hapa Arusha, yaani sijui nini kimetokea... Lema chali tena

Sema dada yako peke yako! Mie siye dada yangu !:nono:
 
mungu ibariki arusha iwe na amani, kwa hali halisi ccm mambo magumu wanachelewesha ili wachakachue kwa urahisi, jamaa wamekomaa nao wamechoshwa na ahadi hewa
 
...Kwani haya majimbo matatu NYAMAGANA, ILEMELA na ARUSHA MJINI yana nini mpaka watu watake kupoteza uhai wa Watanzania kwa kutaka kuyang'ang'ania?????

Ndio maana tunasema na kurudia...JK, KIRAVU, NA MAKAME ni watuhumiwa namba 1 kama damu ya Watanzania itamwagika kwa ufidhuli na hila za uvurugaji za hawa watu...

Nchi imemshinda JK, anahangaika kuokoa majimbo ma-2! ataokoa mangapi?? Ni hatari sana jamaa huyu!

MAHAKAMA ZA ICC (ZA KIMATAIFA) ZINAWAITA HAWA WATU....HAKIKA!
 
Kata 12-Chadema, Kata 6 CCM, halafu Mbunge anashinda CCM!!!!!????? Hii nayo ni ya kujiuliza!!!
 
THIS IS IT! AM DONE WITH THIS!!:A S angry::A S angry::A S angry:
 
Wana JF,

Habari Kutoka Arusha kwa Mtu aliyeko ndani manispaaa ni kuwa kuna shinikizo kubwa kutoka IKULU na Jana EL alikwenda mjini Arusha na kulikuwa na kikao cha ndani kufanya mambo ili mama apite,

Mbaya zaidi kumbe mawakala wa mama walikubali kuwa wameshindwa nakumbe walirudia kuhesaba kura na kila zikirudiwa kuhesabiwa batilda anaachwa mbali na kura zinazidi ongezeka kwa Lema naanaye goma na kuto kukubali ni Batilda.

Sasa hatuelewi kwanini IKULU inaingilia hili na kwanini wanashinikiza hilo?
 
Kwa majonzi na masikitiko napenda kuwtangazia kuwa hatimae Dada Batilda atakua mbunge wetu hapa Arusha, yaani sijui nini kimetokea... Lema chali tena

Dada gani, mama ajuza kikongwe huyo!! Wenzake walishafunga kuzaa siku nyingi. Ni dada yako, sema "dada yangu". Akubali yaishe tu. Kwani tangu mwanzo si alijua ataula wa chuya!!
 
Inaonyesha idadi ya watu inazidi kuongezeka. Uvumilivu unazidi kuyoyoma. Wanadai EL anafanya nini?
Sintashangaa kama vurungu itatokea kadiri dakika zinavyozidi kuyoyoma.
Tunaomba tume isaidie kutangaza haraka hakuna sababu ya kuchelewesha au ni kiu ya damu za watu?
 
jamani mnatuweka roho juu which is the true, Batilda au LEma?
 
Kwa majonzi na masikitiko napenda kuwtangazia kuwa hatimae Dada Batilda atakua mbunge wetu hapa Arusha, yaani sijui nini kimetokea... Lema chali tena

We unasema haya kama nani?? we ndo atakua mbunge wako. Huu upuuzzi mwisho ni sasa, sioni haja ya kujifanya amani wakati naibiwa.
 
Nasikia Arusha njia zimefungwa na wanamageuzi, wanataka Matokeo yatangazwe. Tuhabarisheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…