Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari


You are absolutely
!!
And that was the main reason. sio CCM wala nini. Ni vitega uchumi vyake tuu vilivyomtoa nduki Monduli.

I second you!!!!
 
One thing that NEC should know they can get away with everything but not God's judgement. There is a day the Kiravus,the makames will die and they will meet God face to face to explain all the injustice they have committed.I'm sure they will try to bribe God thinking God is a fool like them.God wouldnt stand up but He will send them straight to the very depth of hell for all the injustice they have committed.God has said openly in the ten commandments thou shall not steal.Uchakachuaji ni dhambi ya wizi it's only a matter of days before they end up in the depth of hell.God has rewarded them with a life of more than seventy years that He promised a man.Lakini badala ya kutenda mema wanafanya uovu huu ambao hausameheki. Sidhani kama they have more than years ahead of it's only a matter of time before they leave this world to meet face to face with GOD ambaye hachakachui.I only feel pity for them
 
wananchi wenzangu Lema amechukua jimbo la arusha na matokeo yameshatangazwa, EL na Batilda wake chali
 
Godbless Lema kiranja mkuu arusha mjini, hakuna kuchakachua wala nini, geneva ya afrika ndo hiyoo inapeperushwa na chadema, Batilda kapumzike mama na El wako
 
CHADEMA Wamepata jumla ya Kura 56,765 Zidi ya CCM kura 34,544.
 
Kitaeleweka tu, vinginevyo damu itamwagika kama mwanzq nq mbeya!!:A S angry:
 
Nona michuzi keshamwaga matokeo kule. Kimeshaeleweka na bibie kainamishwa kwelikweli sio mchezo maana hata kuchakachua haiwezekani!!
kazidiwa kwa kura zaidi ya 19,000 utafanya nini hapo. Na hapa ndipo unapogundua ufinyu wa akila ya Lewis maana huwezi ukachakachua ushindi mkubwa kiasi hicho, matokeo kama haya yalitakiwa yatangazwe papo kwa hapo!!:smile-big: sasa ya ukombozi kwa watanzania inakaribia:glasses-nerdy:
 
Mbona mwasema Lowasa yupo Mbeya... Mara Arusha... are you serious people??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…