wapi?????
luv mi presha inapanda pressha inashuka!
UPDATE...wakuu, naangalia LIVE starTV hapa...matokeo BADO hayajatangazwa hadi hivi sasa klwa arusha mjini!
Mkuu Ruta, unaweza kutuambia source yako please? otherwise hii inaturusha roho bure tu
Mungu mkubwa
Umesha mpepelea Mramba???
Sasa Ruta nilikupa heshima, naona unataka kuipoteza, hata wewe unaanzisha post zenye mikia tu? si ungepeleka kwa Macha akatengenezee supu then utulie? mambo gani hayaUPDATE...wakuu, naangalia LIVE starTV hapa...matokeo BADO hayajatangazwa hadi hivi sasa klwa arusha mjini!
Mkuu Ruta, unaweza kutuambia source yako please? otherwise hii inaturusha roho bure tu