Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......................wera wera wera wera
 
Hureeeeeeeee Lemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Chadema...Peoples Power!!!!!!!! Big Up wana Arusha, you have talked!!!!!!! I like that, Lowasa, enzi zako za influence zinaelekea kuisha baba! Acha kujiaibisha!!!!!
 
Mnavyomvika Batilda mzigo wa maasi as if Lema ni malaika ........sitashangaa kuskia kuwa Lema ndiyo amefanya uhuni huko....wale RED GUARD kutoka Tarime si walihamishiwa Arusha mjini baada ya kushtukiwa kule HAI
 
g
UPDATE...wakuu, naangalia LIVE starTV hapa...matokeo BADO hayajatangazwa hadi hivi sasa klwa arusha mjini!

Mkuu Ruta, unaweza kutuambia source yako please? otherwise hii inaturusha roho bure tu

inakera sana jamani, hebu watu ongeni vitu mlivyo na hakika navyo....sasa luv turushe live wengine humu hatupati hiyo star.
 
Sasa huyo Batilda atawaongoza akina nani kama wana Arusha hawamtaki. Hapa naona CCM wana hamu tu ya kuona damu ya watanzania ikimwagika. Lema na wala hasijaribu kuingia mkenge, huu mwaka una sifuri mwisho na huwezi kulinganisha mingine iliyopita. He'll face the almighty WRATH ya watanzania popote atakapoenda.
 
Arusha watu wanaimba tunataka mabadiliko, CCM wanadai kura zihesabiwe tena CHADEMA wanasema aiwezekani maana masanduku yamelindwa na TUME
 
KAWE nako TUME wanalete ubabaishaji wao hawataki kutangaza matokeo CCM wanadai kura zihesabiwe tena jamani hali hii italeta maafa ya kweli kama wao wana BEEP Watanzania watapiga sijui nani atakayepokea muziki huo
 
UPDATE...wakuu, naangalia LIVE starTV hapa...matokeo BADO hayajatangazwa hadi hivi sasa klwa arusha mjini!

Mkuu Ruta, unaweza kutuambia source yako please? otherwise hii inaturusha roho bure tu
Sasa Ruta nilikupa heshima, naona unataka kuipoteza, hata wewe unaanzisha post zenye mikia tu? si ungepeleka kwa Macha akatengenezee supu then utulie? mambo gani haya
 
Nipo ENEO LA TUKIO HALI BADO NI TETE HAKUNA MATOKEO YALIYOTANGAZWA MPAKA SASA HIVI NA WAPIGA KURA WANAZIDI KUPANDA MORI

TUMWOMBE MUNGU ARUSHA ISITOKEE TAFRANI
 
Lema wananchi wa Arusha walikuamini na kukupa ridhaa zao ili usaidie katika kupigania haki zao na kuwaletea maendeleo waliyoyasubiria tangu mwaka 1961, wanachama wa CHADEMA wamekubali kumuunga mkono mwenyekiti wa chama chao mh. Dr. Slaa aliyekusimamisha wewe, na kukupigia kampeni ili uipeperushe bendera ya CHADEMA hivyo basi jua kuwa ukikubali kurubuniwa kwa namna yoyote ile utakuwa imeusaliti umma wa wananchi wa Arusha; wanachama wa CHADEMA Arusha na nchi nzima na hata wapenda maendelea kupitia democrasia ndani na nje ya nchi...... tambua kuwa hutafaidi hayo matunda ya pesa/ hongo utakayopewa.
 
Back
Top Bottom