Arusha Mjini: Inaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania

Hata kama hawamtaki atapita TU, so long as higher authority inamtaka.
 
Kama wananchi wa Arusha watampigia kura wewe inakuhusu nini?
 
Tukana uone! Wana Arusha Mjitafakari, Sasa mtu anatumia jina si lake,mwenye jina akiutaka huo uwaziri itakuwaje?Mimi ndio Paul makundo halisi?!!!
Mkuu kule kwetu Rungwe na Busukolo huwezi kuta huu useng..e wa kutawaliwa na wakuja, kule kama sio mnyakyusa hata ulete maajabu kama yesu bado utasubiri.. Kule kwetu hata mkuu wa wilaya wanatamani hata wamgomee kama sio mwaisa.
 
Naomba kukuambia kuwa Arusha wameonyesha kiwango cha Juu sana cha Ujinga ambacho sikukitegemea kwa Majimbo ambayo yana hadhi ya Jiji

Wakuu wa Mikoa hawakatazwi kugombea Ubunge, kwanini Jamaa asirudi kwao kugombea. Mwaka 2020 alienda Kigamboni, Wajumbe wakamkataa.

Mwaka huu kaona eneo ambalo anawamudu ni Arusha.
 
Kama ni mtanzania ana haki ya kugombea popote katika JMT. Nenda nawe ukagombee kwao. Acha ukabila
Toka kigoma na jina lako la Paul Christian John kagombee Zenji uone, kimaandishi una haki hiyo ila kiuhalisia watakuktaa mapema.
 
Mkuu kule kwetu Rungwe na Busukolo huwezi kuta huu useng..e wa kutawaliwa na wakuja, kule kama sio mnyakyusa hata ulete maajabu kama yesu bado utasubiri.. Kule kwetu hata mkuu wa wilaya wanatamani hata wamgomee kama sio mwaisa.
Na hii ndio Spirt inayotakiwa kila Maeneo. Hata akiwa sio Mwaisa walau awe na Vinasaba vya hilo Jimbo.

Sasa Makonda Arusha ameenda sababu ya Ukuu wa Mkoa wanaamua kumpa na Ubunge. Huu si Ulimbukeni wa hali ya Juu sana.
 
Hakuna mtu anataka Mbunge awe mzaliwa wa eneo husika. Makosa makubwa sana ni kuwapa Jimbo wapita njia.

Makonda kilichompeleka Arusha ni Ukuu wa Mkoa. Inamaana mf. angeenda kuwa mkuu wa mkoa Mwanza angegombea Mwanza.

Sababu ya CCM wanajua Arusha ni wajinga wakaamua kumpitisha sababu wanajua Wadudu hawana shida.
 
Mke wako akitmbwa na rafiki yako utafurahi tu kwa sababu hakuna kifungu cha katiba kinachokataza?
 
Toka kigoma na jina lako la Paul Christian John kagombee Zenji uone, kimaandishi una haki hiyo ila kiuhalisia watakuktaa mapema.
Kama anadhani ni uongo aende Rungwe au Kyela km sio mnyakyusa aone kama atapewa huo ubunge... kule mgombea lazima wamjue mwanzo mwisho na kampeni afanye kwa kinyakyusa.
 
Mke wako akitmbwa na rafiki yako utafurahi tu kwa sababu hakuna kifungu cha katiba kinachokataza?
Mkuu inadhihirisha jinsi gani wewe ndiyo hauna akili na sio watu wa Arusha. Naamini ukiwahiwa na ukazingatia matumizi ya dawa kwa usahihi, tatizo la afya ya akili linalokukabili linatibika kabisa.
 
Nilishawahi kuandika humu ,kati mikoa yenye watu washamba ni Arusha watu hawakunielewa!!! Usela mavi!! Kuvunja Sheria ndio ujanja,Bado wanatembea na visu na kupora watu !!! Yani ni kamji kahovyo mno
 
Ww ambae sio mbaguzi je Makonda akija hapo kwenu akiwa anawakula mama ako na dada zako utakuwa comfortable tu himaya yako kuingiliwa?
Ukiona mtu anakimbilia kutoa lugha za matusi badala ya kujenga hoja, ujue anapitia maisha magumu sana hivyo anapambana kulazimisha agawane na wengine maumivu yake.
Mkuu pambana kufanya kazi uondokane na umasikini unaokukabili, maana kuchukia utafutaji wa wengine na kulazimisha wote wawaze ujinga kama wewe hakuwezi kukukwamua katika dhiki kuu inayokukabili.
Piga kazi kijana, mwanaume hupambania fursa popote ilipo Duniani, na sio kuwa mfitini kwa watu walioamua kuipambania kesho yao
 
Mkuu inadhihirisha jinsi gani wewe ndiyo hauna akili na sio watu wa Arusha. Naamini ukiwahiwa na ukazingatia matumizi ya dawa kwa usahihi, tatizo la afya ya akili linalokukabili linatibika kabisa.
Mkuu Arusha nimeishi zaidi ya miaka kumi, mitaa ya sinoni, unga limited, bongonyoo sijui mnaita jamhuri, moshono mpaka chekereni, mbauda, morombo mpaka Intel hakuna sehemu nisiyoijua... In short mm ni mnyakyusa mzaliwa wa mbeya lakini Arusha naijua kuliko nyumbani kwetu mbeya... nimezunguka sehemu nyingi lakini Arusha kuna maji2 maseng...e sana.
 
Mkuu nakubaliana na wewe 💯

Walau ata huko Mwanza ana nyumba na anaendaga mara kwa mara ni second home baada ya Dar.

Lakini Arusha hana hata nyumba na wala sio kiota chake. Dar ni metropolitan kubwa zaidi lakini sidhani kama wanaweza pitisha mtu ambae hana ata makazi kwenye jiji.

Hili la Arusha na Makonda limetia doa sana na kielelezo CCM kimekuwa chama cha kikundi sio wananchi tena.
 
Pale Bukoba mjini ujinga Kama huu aliuleta Byabato Ila ameshakatwa juu kwa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…