Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Ilikua awali, ila kwa hili pigo alilopata Gambo, basi imemfanyia wepesi sana Lema wa kushinda.Ktk watu ambao lema ana hofu nao na kuomba wasigombee ubunge ni Gambo...
SAAA MBILI TU ASUBUI TUHiyo ipo wazi gambo asubuhi anashinda
Ahsante kwa kazi nzuri iliyotukuka. Leo tutakuongezea posho kutoka buku 7 mpaka buku 9.Hiyo ipo wazi Gambo asubuhi anashinda.
Anashinda mapemaaa. Watu hawajui siasa za Arusha. CCM wamsimamishe Gambo, anakubalika na wananchiHiyo ipo wazi Gambo asubuhi anashinda.
Kabisa yani. Sisi tupo huku field tunaona, saizi wananchi Wana simanzi alivyotenguliwa, Yani akija Kama mbunge atazoa Kura za kishindo sababu wanamlilia
Acha woga wewe.,mbona moyo unakuenda kasi hivyo,subiri dawa ikuingie...Nasikia fununu kuwa Gambo huwenda akachukua fomu kwa tiketi ya CCM kugombea ubunge wa Arusha mjini.
Kwa hali ilivyo nnapata Uhakika 100% sana Gambo hawezi kushinda katika uchaguzi huo, tukumbuke kua tayari Gambo ana kidonda kibichi kabisa cha kutumbuliwa na Raisi, hivyo basi kama Raisi ameona hufai.
Je, wananchi utawaambia nini? Gambo pia si mzoefu wa siasa za majukwani, hapa pia Lema atatumia uzoefu wake kupita na Gap.
Trust me, ikitokea mtinange ukawa kati ya Lema Vs Gambo, basi mapema mnoo Lema ananyanyua Kikombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais aruhusu Membe achukue fomu ili kujipima naye.Hiyo ipo wazi Gambo asubuhi anashinda.
Lema ana jeshi la kulinda kura zake ?Lema anashinda saa 11 asubuhi.
Lema ana jeshi la kulinda kura zake ?
Kama hana hata akishinda, hawezi kutangazwa mshindi