Uchaguzi 2020 Arusha Mjini: Lema Vs Gambo; Lema atashinda mapema mno

Uchaguzi 2020 Arusha Mjini: Lema Vs Gambo; Lema atashinda mapema mno

mandella,

Ktk watu ambao lema ana hofu nao na kuomba wasigombee ubunge ni Gambo.
Gambo alitumia MaPolisisiEM Kumdhibiti Lema, kwenye siasa za jukwaani Gambo ni ndebwedo anapigwa hasubuhi!!
Atadanganywa watu watakulaa helazake, kura hapati kama Lowasa kipindi kile na yule binti aliye pozwa na ubarozi wa Kenya!!
Arusha inahitaji upinzani thabiti ili waendelee kustuliwa kuleta maendeleo!!
 
Naona wapinzani mmeanza kuweweseka ....subirini dawa iwaingie
Wapinzani wepi??
Naona viongozi wa CCM waandamizi wanaparurana!!
Je kutakuwa na usalama kwenye chama??
Huyo Bwn anagawa fedha kama karanga, TAKUKURU anangata wapi mbona kila kitu kiko wazi??
Huyu Bwn akihonga wajumbe wa CCM je, atahonga wapiga kura woote mjini Ars??
Atadanganywa watakula fedha zake na kura atapewa Lema!!
Hiyo ndiyo Ars Bwn!!
 
Mtangaza matokeo ndiye mwenye maamuzi ya mwisho ya nani awe mbunge! Na yeye mwenyewe amevaa jezi ya ccm na kadi yake inaonekana dhahiri kwenye mfuko wa koti lake!! Tusubiri tuone.
Usilete huo upuuzi ATown, machalii wa Aráàaa ni noma tuombee usalama na uwazi uwepo ili kila kitu kiwe salama!!
 
Back
Top Bottom