ARUSHA: Mlinzi adai Mwalimu Mkuu huamuru Wanafunzi kufungwa kwa Mnyororo kwa Utoro

ARUSHA: Mlinzi adai Mwalimu Mkuu huamuru Wanafunzi kufungwa kwa Mnyororo kwa Utoro

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Anayedaiwa Mlinzi wa Shule ya Msingi Ngarenaro, ambako Mwanafunzi wa Darasa la Saba (13), ameonekana amefungwa kwa mnyororo kwenye dawati kwa kosa la utoro, amedai kuwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo ndiye aliyeagiza mtoto huyo afungwe, akieleza kuwa adhabu hiyo imekuwa ikitekelezwa Shuleni hapo na tayari Mwanafunzi mwingine amewahi kufungwa baada ya kutofika Shule kwa kipindi cha mwezi mmoja.

 
Sasa hawa walimu ni hovyo wanamfunga bila chakula halafu wanamuacha na mlinzi mpaka asubuhi je mlinzi kama sio mtu mwema si anaweza hata akambaka maana mtoto atakuwa hana msaada hili swala serikali waliangalie ni hatari kwa wanafunzi
 
Back
Top Bottom