Arusha morden school yauzwa bilion 4 kwa kanisa katoliki.


hata kama ingekuwa 10 bilioni wanaweza kununua. Unafanya mchezo na MoU!! kila mwaka wanakwapua pesa ya umma zaidi ya 91 bilioni.
 
thus right
 
msisahau kule Dodoma kabla haujafika Dodoma mjini kuna kiwanja sijajua hekali ngapi kwenye hicho kiwanja wanajenga shule kuanzia nursery mpaka chuo kikuu............na ujenzi umeshaanza.
 
ha ha ha ha salam aleikum ustadhi wangu ally kombo. 4bn ni vijicent kwa katoliki, MOU ni kwa mambo mazito kama Bugando ili hata wewe ustadhi usikose matibabu! Vipi nyie MOU zenu mnafanyia nini?
wanafanyia mihadhara.
 
na bila kusahau Kanisa Katoliki limeshapewa kibali cha kufungua matawi kwa ajili ya Bank ya Mkombozi.........so wapo kwenye mchakato.

wale walalamikaji mpo?
 
Kipis
kanisa katoliki lipo kibiashara zaidi dini ni kama sehemu ya mti wenye kivuli tu!

Mkuu, hiyo siyo kweli. Kama hujui basi ujue kwamba Kanisa Katoliki lipo kuendeleza kazi aliyokuwa anafanya Yesu Kristu hapa duniani enzi za uhai wake. Yesu Kristu alikuwa anafundisha na kuponya wagonywa. Soma Injili na utaelewa maisha yake. Alikuwa anaitwa MWALIMU. hivyo usishangae kwa WAKATOLIKI kufungua shule nyingi na hospitali nyingi-kama vile hawana akili nzuri vile-ili kufundisha watu wote na kuponya watu wote. Kwenye masuala ya kipato huwa wanatoa pia kozi za kilimo bora, ufugaji bora, ufundi kama vile useremala (Yesu mwenyewe alikuwa seremala vilevile), uashi, na kazi za ujasiriamali na kusisitiza mfumo wa familia ya mke mmoja na mume mmoja (Yesu aliishi kwenye familia ya namna hiyo). Kuwafungia kuanzisha shule na hospitali ni kama vile kuwadhulumu wasiwe na mchango kwenye Taifa la Mungu. Ni kuwaoonea sana na wanaweza kulalamika. Baba wa Taifa alipotaifisha shule zote walimwendea na kumuomba awaruhusu kufungua angalao chache kwa ajili ya kuwaendeleza wasichana na walipewa kibali. Baada ya kuwa na Sera ya Elimu ya 1995 ambayo iliruhusu tena uwekezaji katika elimu. Maaskofu walisita kuanzisha shule nyingine kwa hofu kwamba zingetaifishwa mpaka Serikali ilipowataka wafanye hivyo na wao kueleza hofu yao. Ili kuwahakikishia kwamba hakuna utaifishaji wakawa na MOU ambayo Kanisa litajenga na kuendesha hizo shule na Vyuo na Serikali itasaidia pale inapobidi (ni Ubia wa aina fulani). Mchango wa Serikali katika shule hizo ni pamoja na kuzifanyia ukaguzi, kulipia ada hasa kwa Vyuo Vikuu (Bodi ya Mikopo). Kudahili na kuwapelekea wanafunzi kupitia TCU-wao hawafanyi udahili. Hospitali nazo zilo kwenye utaratibu wa aina hiyohiyo. Faida ambayo Kanisa Katoliki linapata ni kujisikia LIMEFUNDISHA NA KUPONYA WAGONJWA
 


Jamani inatosha, mmewakamia mno hawa watoto wa Kijakazi Hagari. Hiyo dozi imetimia. kama wasipoelewa na kubadilika basi hata akishuka Yesu hawatawelewa.
 
msisahau kule Dodoma kabla haujafika Dodoma mjini kuna kiwanja sijajua hekali ngapi kwenye hicho kiwanja wanajenga shule kuanzia nursery mpaka chuo kikuu............na ujenzi umeshaanza.

shule ya sekondari ilifunguliwa mwaka huu inaitwa St. PETER, bado hivyo vingine
 

Fafanua vizuri kama ifuatavyo
Kanisa Katoliki Jimbo la Arusha limenunua Shule ya Modern kwa madhumuni ya kujenga chuo cha malezi ya vijana. Mpango wa muda mfupi wa kanisa ni kuhamishia shule ya wasichana ya St. Joseph (Ngarenaro) ili majengo ya shule ya Ngarenaro yatumike kuanzia Tawi la Chuo Kikuu cha Mt. Augustino
 
Hapo ndipo ninapolipemnda kanisa langu big up naamini hata govt isipo niajiri kanisa litaniajiri
 
hata kama ingekuwa 10 bilioni wanaweza kununua. Unafanya mchezo na MoU!! kila mwaka wanakwapua pesa ya umma zaidi ya 91 bilioni.

No research, no right to speak. Hebu leta uthibitisho wa madai yako? Kwani hao waliochanga hizo fedha ni wat wennye uhusiano na MoU?. Inaelekea hata MoU hujui ni ninini.
 
Jamani inatosha, mmewakamia mno hawa watoto wa Kijakazi Hagari. Hiyo dozi imetimia. kama wasipoelewa na kubadilika basi hata akishuka Yesu hawatawelewa.
Am proud to be Christian and very proud to be Catholic Amen Amen katika Bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…