Arusha morden school yauzwa bilion 4 kwa kanisa katoliki.

Arusha morden school yauzwa bilion 4 kwa kanisa katoliki.

ha ha ha ha salam aleikum ustadhi wangu ally kombo. 4bn ni vijicent kwa katoliki, MOU ni kwa mambo mazito kama Bugando ili hata wewe ustadhi usikose matibabu! Vipi nyie MOU zenu mnafanyia nini?
 
Last edited by a moderator:
hongera katoliki....
Tutaendelea kuchangia

Sasa hivi tunapiga mchango wa angalau Tzs. 200 kwa kila Mkatoliki kwa ajili ya TUMAINI TV. Hatutaki utani na watoto sisi. Maendeleo kwa kwenda mbele wao wakali kujitoa mhanga tu!
 
Sasa hivi tunapiga mchango wa angalau Tzs. 200 kwa kila Mkatoliki kwa ajili ya TUMAINI TV. Hatutaki utani na watoto sisi. Maendeleo kwa kwenda mbele wao wakali kujitoa mhanga tu!

akili zao ndiyomwisho wa hatua zao.

Hivi kwanza wana vyuo vingapi tanzania? hata bure sisomi chuo cha kiislam.
 
nalipongeza sana kanisa KATOLIKI kwa kuongeza shule, WAISLAMU wezangu igeni mfano wa wakatoliki

kweli kabisa hata mimi na wapongeza kanisa katoliki badala ya kusubiri huruma ya serikali ili wapewe bure wao wamenunua.

Asante pia kwa kutupa ushauri mzuri tutaufanyia kazi.
 
Shule inayofahamika sana mjini arusha kama arusha morden school. iliyoko eneo la kisongo imeuzwa sh bilion 4 katika kanisa katoliki mkoani humo.akizungumza katika ibada ya misa takatifu katika kanisa la roho mt lililoko eneo la ngerenaro padre Ruwaich amesema !Tutanunua shule ya arusha morden kwa gharama ya sh bilion 4 eneo ambalo lina ukubwa wa ekari 25 na mpaka hiv sasa ekari 9 zimeshajengwa!

Well done kanisa katoliki!!! Chezea wewe!! Halafu mkianza kufaulu na kuongoza mitihani ya taifa wale ndugu zetu wanakuja juu. Invest in quality education for quality graduates with ethics!!! Wajukuu zangu watosoma shule za misheni hadi liamba!!
 
wapumbavu wapo bussy na sensa na baraza la mitihani wanapenda mteremko kweli hawa wadudu
 
sasa ivi itakuwa chuo kikuu, ekari hizo zinatosha kabisa kuweka branch ya SAU au kujenga university mpyaaa, katoliki wanajitahidi sana, hawana upuuzi wa kuhangaika na kulalamikaa au kulalamika kugomea sensa....akili za mbayuwayu wao hawana..

Na bado Pugu Sekondari iko kwenye pipeline mkuu kurudishwa kwa wenyewe wakatoliki, forodhani tayari pale kuna kindergarten, Primary na A level. Kule Pugu sekondari kuna eneo kama ekari 25 nje ya zile za sekondari, hivyo kuna mpango wa kuweka St. Joseph's Millenium University!!
Point to note!! Pale St Joseph's High School (former Forodhani) ni vipanga wakali wapo pale, na mtihani wa entrance ni balaa hakuna cha shangazi wala mjomba!! Quality education forever!! Viva Catholism!!
 
Shule inayofahamika sana mjini arusha kama arusha morden school. iliyoko eneo la kisongo imeuzwa sh bilion 4 katika kanisa katoliki mkoani humo.akizungumza katika ibada ya misa takatifu katika kanisa la roho mt lililoko eneo la ngerenaro padre Ruwaich amesema !Tutanunua shule ya arusha morden kwa gharama ya sh bilion 4 eneo ambalo lina ukubwa wa ekari 25 na mpaka hiv sasa ekari 9 zimeshajengwa!

Wenye akili wanawekeza kwenye elimu! Wapumbavu wanawekeza katika fujo na malumbano! Wewe uko kwenye kundi lipi!
 
Na bado Pugu Sekondari iko kwenye pipeline mkuu kurudishwa kwa wenyewe wakatoliki, forodhani tayari pale kuna kindergarten, Primary na A level. Kule Pugu sekondari kuna eneo kama ekari 25 nje ya zile za sekondari, hivyo kuna mpango wa kuweka St. Joseph's Millenium University!!
Point to note!! Pale St Joseph's High School (former Forodhani) ni vipanga wakali wapo pale, na mtihani wa entrance ni balaa hakuna cha shangazi wala mjomba!! Quality education forever!! Viva Catholism!!

Wakija utasikia wakatoliki wanafanya biashara!
 
Wakija utasikia wakatoliki wanafanya biashara!

Bora biashara na wakatoliki kuchangia katika Social welfare ya nchi hii kuliko kumwaga damu. Hizi za wakritu kwa ujumla ndiyo tunaita productive social investments!!! Viva Christians!!
 
kweli kabisa hata mimi na wapongeza kanisa katoliki badala ya kusubiri huruma ya serikali ili wapewe bure wao wamenunua.

Asante pia kwa kutupa ushauri mzuri tutaufanyia kazi.

Sipendi "kuwananga" watu, lakini nakumbuka kuna chuo kilichokuwa kinamilikiwa na Taasisi moja ya Umma kilitolewa bure kama zawadi kwa "wale" lakini sijajua kimewasaidia kwa kiasi gani kujiongezea elimu. Bora wapewe bure vya kununua hawawezi! Kununua hawawezi, na kuwekeza kwa mitaji yao pia hawawezi ila KULALAMIKA WEEEEEEEEEEEEEEE!
 
kila muumini alichanga alfu ishirini,kanisa katoliki wana hela sana na hela zao sio kwamba zipo bank,hapana wakitaka hela kiasi chochote wanawaambia waumini wao tunataka kununua kitu flani na kila mtu anatakiwa kutoa kiasi flani mpaka watoto ulionao nao watatoa.serekali inahangaika na sensa alakini kanisa linaidadi ya watu wake na sensa ni kila siku,kwani kila akifa mtu wanataarifa na akizaliwa wanataarifa.kanisa lina ndege serekali haina ndege,chezea kanisa wewe,kwa taarifa nikua st joseph,au shule ya secondary ya faza babu inakaribia kua university ndio maana hiyo shule ikanunuliwa ku replace ile ya kwa padri babu.

SIO KWELI KWAMBA WANA PESA SANA kuliko watu wengine,Ila cha msingi hapa nikuelewa na kuthamini elimu na kujua kuwa ili kukabiliana na changamoto za maisha ili watu waishi katika ucha Mungu,Elimu ya kuijua dunia anayoishi na Elimu ya kumjua Mungu lazima viende sambamba
 
Hapa ndipo tofauti inapooneka wakati wengine wanakiria kugoma sensa wageni wananunua shule.
 
Sipendi "kuwananga" watu, lakini nakumbuka kuna chuo kilichokuwa kinamilikiwa na Taasisi moja ya Umma kilitolewa bure kama zawadi kwa "wale" lakini sijajua kimewasaidia kwa kiasi gani kujiongezea elimu. Bora wapewe bure vya kununua hawawezi! Kununua hawawezi, na kuwekeza kwa mitaji yao pia hawawezi ila KULALAMIKA WEEEEEEEEEEEEEEE!

Nyerere alisema dhambi ya ubaguzi haifai. Pale wanasoma wao tu. Wanafunzi wakristo wana baguliwa kama si watanzania. Wahadhiri wakristo waliwa frustrate wakatimua. NINA USHAHIDI WA KUTOSHA KWANI NIMESOMA HAPO
 
Duhh Hilo nalo Neno!!!
 
Mkuu nimekuelewa, Imani au dini yoyote inapaswa kuwa na waumini na lengo la dini/imani hiyo ni kuhakikisha waumini wao wanaongezeka kila uchao.

Waumini hawa ni sehemu ya jamii na wana mahitaji sawa na wanajamii wengine wote ikiwemo afya, elimu, maji, umeme na vingine vingi.

Kuna dhambi gani kwa dini/dhehebu kusogeza huduma hizo kwa waumini wao na ukizingatia kuwa hawa ni wanajamii basi jamii nzima itafaidika na huduma hiyo?

Ni dini/imani au dhehebu gani ambalo halijajenga shule, hospitali, visima maeneo mbalimbali ktk jamii?

Kuna ulipokuta shughuli za ibada zimekwama kwa sababu ya hayo mambo mengine (hospitali, shule nk).

Unaposema katoliki wamezidi ina maana wengine hawatoi hizo huduma? Au wamegeuza makanisa kuwa shule, hosp?

mkuu ili mtu aweze kuifahamu dini yake vizuri ni shariti kwanza aelimishwe. afya,elimu na maendeleo,ni sehemu ya mapitio katika maisha ya mwanadamu. sipingi taasisi yoyote ya dini kusogeza huduma kama hizo katika jamii.bali hizo taasisi zinavyotumia hizo huduma kama chambo cha kunasia waumini.
 
Watoto wa kijakazi wanamatatizo sana. Hongera KANISA KATOLIKA. Najivunia kuwa mkristo.
 
Back
Top Bottom