BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
wewe ni ZOMBA....
triple like
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni ZOMBA....
M o U !
hongera katoliki....
Tutaendelea kuchangia
Sasa hivi tunapiga mchango wa angalau Tzs. 200 kwa kila Mkatoliki kwa ajili ya TUMAINI TV. Hatutaki utani na watoto sisi. Maendeleo kwa kwenda mbele wao wakali kujitoa mhanga tu!
nalipongeza sana kanisa KATOLIKI kwa kuongeza shule, WAISLAMU wezangu igeni mfano wa wakatoliki
Shule inayofahamika sana mjini arusha kama arusha morden school. iliyoko eneo la kisongo imeuzwa sh bilion 4 katika kanisa katoliki mkoani humo.akizungumza katika ibada ya misa takatifu katika kanisa la roho mt lililoko eneo la ngerenaro padre Ruwaich amesema !Tutanunua shule ya arusha morden kwa gharama ya sh bilion 4 eneo ambalo lina ukubwa wa ekari 25 na mpaka hiv sasa ekari 9 zimeshajengwa!
sasa ivi itakuwa chuo kikuu, ekari hizo zinatosha kabisa kuweka branch ya SAU au kujenga university mpyaaa, katoliki wanajitahidi sana, hawana upuuzi wa kuhangaika na kulalamikaa au kulalamika kugomea sensa....akili za mbayuwayu wao hawana..
Shule inayofahamika sana mjini arusha kama arusha morden school. iliyoko eneo la kisongo imeuzwa sh bilion 4 katika kanisa katoliki mkoani humo.akizungumza katika ibada ya misa takatifu katika kanisa la roho mt lililoko eneo la ngerenaro padre Ruwaich amesema !Tutanunua shule ya arusha morden kwa gharama ya sh bilion 4 eneo ambalo lina ukubwa wa ekari 25 na mpaka hiv sasa ekari 9 zimeshajengwa!
Na bado Pugu Sekondari iko kwenye pipeline mkuu kurudishwa kwa wenyewe wakatoliki, forodhani tayari pale kuna kindergarten, Primary na A level. Kule Pugu sekondari kuna eneo kama ekari 25 nje ya zile za sekondari, hivyo kuna mpango wa kuweka St. Joseph's Millenium University!!
Point to note!! Pale St Joseph's High School (former Forodhani) ni vipanga wakali wapo pale, na mtihani wa entrance ni balaa hakuna cha shangazi wala mjomba!! Quality education forever!! Viva Catholism!!
Wakija utasikia wakatoliki wanafanya biashara!
kweli kabisa hata mimi na wapongeza kanisa katoliki badala ya kusubiri huruma ya serikali ili wapewe bure wao wamenunua.
Asante pia kwa kutupa ushauri mzuri tutaufanyia kazi.
kila muumini alichanga alfu ishirini,kanisa katoliki wana hela sana na hela zao sio kwamba zipo bank,hapana wakitaka hela kiasi chochote wanawaambia waumini wao tunataka kununua kitu flani na kila mtu anatakiwa kutoa kiasi flani mpaka watoto ulionao nao watatoa.serekali inahangaika na sensa alakini kanisa linaidadi ya watu wake na sensa ni kila siku,kwani kila akifa mtu wanataarifa na akizaliwa wanataarifa.kanisa lina ndege serekali haina ndege,chezea kanisa wewe,kwa taarifa nikua st joseph,au shule ya secondary ya faza babu inakaribia kua university ndio maana hiyo shule ikanunuliwa ku replace ile ya kwa padri babu.
Sipendi "kuwananga" watu, lakini nakumbuka kuna chuo kilichokuwa kinamilikiwa na Taasisi moja ya Umma kilitolewa bure kama zawadi kwa "wale" lakini sijajua kimewasaidia kwa kiasi gani kujiongezea elimu. Bora wapewe bure vya kununua hawawezi! Kununua hawawezi, na kuwekeza kwa mitaji yao pia hawawezi ila KULALAMIKA WEEEEEEEEEEEEEEE!
Nyerere alisema dhambi ya ubaguzi haifai. Pale wanasoma wao tu. Wanafunzi wakristo wana baguliwa kama si watanzania. Wahadhiri wakristo waliwa frustrate wakatimua. NINA USHAHIDI WA KUTOSHA KWANI NIMESOMA HAPO
Mkuu nimekuelewa, Imani au dini yoyote inapaswa kuwa na waumini na lengo la dini/imani hiyo ni kuhakikisha waumini wao wanaongezeka kila uchao.
Waumini hawa ni sehemu ya jamii na wana mahitaji sawa na wanajamii wengine wote ikiwemo afya, elimu, maji, umeme na vingine vingi.
Kuna dhambi gani kwa dini/dhehebu kusogeza huduma hizo kwa waumini wao na ukizingatia kuwa hawa ni wanajamii basi jamii nzima itafaidika na huduma hiyo?
Ni dini/imani au dhehebu gani ambalo halijajenga shule, hospitali, visima maeneo mbalimbali ktk jamii?
Kuna ulipokuta shughuli za ibada zimekwama kwa sababu ya hayo mambo mengine (hospitali, shule nk).
Unaposema katoliki wamezidi ina maana wengine hawatoi hizo huduma? Au wamegeuza makanisa kuwa shule, hosp?
Watoto wa kijakazi wanamatatizo sana. Hongera KANISA KATOLIKA. Najivunia kuwa mkristo.UMENENA MKUU!