Wanaosema treni ambayo inatumia siku mbili kufika Arusha ni kujidanganya. Hili ni gari moshi ambalo haliwezi kuendana na nyakati hizi za haraka.
Wafanyabiashara watatumia kwa cement pekee lakini abiria wataichoka kwasababu ya muda mrefu wa kusafiri.
Watu wa kaskazini ni wafanyabiashara sasa gari moshi wakati Mwanza wanapelekewa treni ya umeme msishangae kuona kaskazini hawategemei serikali hata mradi wa maji ni pesa ya huruma ya bank ya dunia sio pesa ya Magufuli na hawajatoa hata senti moja.