Teddy William
Member
- Sep 11, 2016
- 10
- 4
Ikiwa umeshindwa kujibu hata swali ambalo lipo straight forward halafu unaanza ku-doubt uelewa wa wengine then utakuwa na matatizo makubwa sana! Narudia: Wewe unaweza kubaka baada ya kuwa influenced na pic uliyoiona Facebook?
Kama huna jibu, nafunga mjadala!
acha izo ww, we unadhani boyfriend ndo anaweza danya ayoUKISIKIA KUNA WATU Roho mbaya ndo hawa!..Duh sijui ni Visasi au nini? Orodha wapenzi wake kama wapo wakamatwe Kwa upererezi.