mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 452
RIP.....
mungu ana waona na malipo ni
hapahapa duniani
mungu ana waona na malipo ni
hapahapa duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah sio sahih kabsa kusema ivo,coz hilo suala la mavazi na kitendo kilichofanywa ni vitu viwili tofauti wala havitegemeani kwa unyama wa aina hyo kubaka na kufanya mauaji nadhani walokosea sana ni wahusika na si tabia ya huyo dada. wala mavazi. tunapaswa kuwa na utu.Ndiyo imebadilika lakini kinacho niuma ni jinsi watu hapa jamii forum wanavyojaribu kumlaumu marehemu. Eti amevaa nguo za kimalaya. It never ok to take someone life under any circumstances.
watu 30 washakamatwaUKISIKIA KUNA WATU Roho mbaya ndo hawa!..Duh sijui ni Visasi au nini? Orodha wapenzi wake kama wapo wakamatwe Kwa upererezi.
Mkuu nasikia sio yeye...video queen wa Salome sio huyuHuyu anaitwa Julliana issa ni vidio model katika nyimbo ya salome ya diamond alikuwa mwanafunzi wa chuo cha makunira kiliopo mkoani arusha akiwa anachuku shahada ya music hakika mungu akutangulie huko ulipo na akulaze mahali pema ilikuwa ni usiku wa kuamkia jana roho yako ilipotolewa na watu wasiokuwa na chembe ya huruma wala hofu ya mungu tena wameitoa huku wakikufedhehesha kwa kukubaka na kukulawiti bila huruma na kukuachia makovu sehemu mbalimbali za mwili wako na kukutupa kwenye poli liliopo pembezon mwa barabara.Julliana,naamin umedhulumiwa roho yako uku ukiwa na ndoto kibao za maisha yako ya baadae pia familia yako ikijuwa mtoto wao yuko chuoni makumira ili ukimaliza uweze wasaidia kwa namna moja ama nyingine julliana naamin katika hili kila aloshiriki katika kutoa uhai wako huku wakikubaka na kulawiti mungu hakuwa amelala ila amewaona na atawapa kinachstahiri kwao iwe hapa duniani au huko mbinguni,naamini bwana ametwaa jina la bwana lihidimiwe milele
![]()
![]()
![]()
Atakuwa kuna jambo kafanya watu wameavangeHivi watu wanaua wenzao huwa wanapata faida gani? inauma sana binti mdogo anadhalilishwa kiasi hiki!