Huyu anaitwa Julliana issa ni vidio model katika nyimbo ya salome ya diamond alikuwa mwanafunzi wa chuo cha makunira kiliopo mkoani arusha akiwa anachuku shahada ya music hakika mungu akutangulie huko ulipo na akulaze mahali pema ilikuwa ni usiku wa kuamkia jana roho yako ilipotolewa na watu wasiokuwa na chembe ya huruma wala hofu ya mungu tena wameitoa huku wakikufedhehesha kwa kukubaka na kukulawiti bila huruma na kukuachia makovu sehemu mbalimbali za mwili wako na kukutupa kwenye poli liliopo pembezon mwa barabara.Julliana,naamin umedhulumiwa roho yako uku ukiwa na ndoto kibao za maisha yako ya baadae pia familia yako ikijuwa mtoto wao yuko chuoni makumira ili ukimaliza uweze wasaidia kwa namna moja ama nyingine julliana naamin katika hili kila aloshiriki katika kutoa uhai wako huku wakikubaka na kulawiti mungu hakuwa amelala ila amewaona na atawapa kinachstahiri kwao iwe hapa duniani au huko mbinguni,naamini bwana ametwaa jina la bwana lihidimiwe milele