Kama ni upepelezi unaanza na huyu bwana ake.unavyoambiwa uwe unaelewa watu tuna uthibitisho ww unao kama alikuwa analelewa View attachment 428749View attachment 428751View attachment 428752View attachment 428753View attachment 428754
...hapo unapozungumzia we ni marekani......mi nazungumzia in a Tanzanian context...huyu binti kabakwa TZ si marekani....tuwe wazi na reality...we ukija TZ jaribu kupita na ka mini skirt kako kariakoo uone kama utaachwa....huu ndio uhalisia...hatuko marekani hapa...
...hakuna anayehalalisha unalosema....watu wanajadili cause and effect....Kariakoo imetokea wapi tena. Hiyo picha hapo juu ni nguo ya heshima sana kama mtu unaenda beach. Sasa kama angekuwa kariakoo bado hamna mtu anamamlaka ya kuchukua roho ya kiumbe mwingine kwa ajili ya vazi lake. Hapana bwana hata angekuwa wapi.
Haya Asante Siku njema....hakuna anayehalalisha unalosema....watu wanajadili cause and effect....
Bado siku yakoTatizo Arusha hamumpi ushirikiano mkuu wa mkoa na kamati yake je usalama wenu utatoka wapi? Kazi siasa na kukosoa utendaji wa Rais
Umenena vyemaMavazi ya mtu au muonekano wa mtu haukupi wewe mamlaka hapa chini na mbiguni kutoa roho ya binadamu mwingine. Watu wanaua wenzao hapo TZ na wala hawanyongwi leo hii huyu binti amevaa nguo ya ufukweni ya heshima kabisa na mnahalalisha kifo chake kwa kumlaumu huyu dada. Nimesikitika sana na huu upumbavu kwa kweli. Hapa Marekani ukilala hata na mke wako kwa kumlazimisha akawaita polisi unashtakiwa kwa kurape. Na ni kifungo cha miaka zaidi ya 20.
Yaani moyo wangu unamajonzi kwa kweli huyu binti amekufa kifo cha kinyama kwa sababu ya mbwa mwitu nyamafu washenzi na watafia jela.
huyo dada kashiriki video ya Salome ya Ray vanny na ChibuNitakuja na maelezo ya kutosha mkuu bado nafatilia nn hasa kilitokea kwani ni habari nimeipata kwa sasa. Ila yeyote alieko arusha mwenye hizi habar atu update.
Huyu Mzungu ndo alikua anamtomba?unavyoambiwa uwe unaelewa watu tuna uthibitisho ww unao kama alikuwa analelewa View attachment 428749View attachment 428751View attachment 428752View attachment 428753View attachment 428754
hilo neno mbona lina ukakasiHuyu Mzungu ndo alikua anamtomba?
Mkuu kwahiyo Dar alipouawa bondia nako hawampi ushirikiano mkuu qa Mkoa?R.i.p
Tatizo Arusha hamumpi ushirikiano mkuu wa mkoa na kamati yake je usalama wenu utatoka wapi? Kazi siasa na kukosoa utendaji wa Rais
We mtu anatumia jina kama hilo unafikiri akili zake nzuri. Inauma kweli.Kwa maandishi yako haya..nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako Jambazi
I apologize on behalf of this guy!
Unaongea upuuzi tu..pumbavu!Hakuna cha maeneo wala wakati wa kupiga picha, ikiwa unaweza kuweka picha za muonekano huo kwenye mtandao basi hushindwi kuvaa hivyo mitaani. Huo ni uhuni uliowazi kabisa.
Hilo ni liislam taaira na uneducated..achana naloWewe unaishi nchi ipi ? Tuanzie hapo kwanza usikute upo kule ambapo mwanamke kuendesha hata gari haruhusiwi
Hivi huyo binti kavaa kipi cha ajabu hapo ? Shida yetu Watanzania ni unafki uliopitiliza
Mnataka mtetee wabakaji walio toa uhai wa mtu kisa sijui mavazi aliyovaa ?