Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

...hapo unapozungumzia we ni marekani......mi nazungumzia in a Tanzanian context...huyu binti kabakwa TZ si marekani....tuwe wazi na reality...we ukija TZ jaribu kupita na ka mini skirt kako kariakoo uone kama utaachwa....huu ndio uhalisia...hatuko marekani hapa...

Kariakoo imetokea wapi tena. Hiyo picha hapo juu ni nguo ya heshima sana kama mtu unaenda beach. Sasa kama angekuwa kariakoo bado hamna mtu anamamlaka ya kuchukua roho ya kiumbe mwingine kwa ajili ya vazi lake. Hapana bwana hata angekuwa wapi.
 
Kariakoo imetokea wapi tena. Hiyo picha hapo juu ni nguo ya heshima sana kama mtu unaenda beach. Sasa kama angekuwa kariakoo bado hamna mtu anamamlaka ya kuchukua roho ya kiumbe mwingine kwa ajili ya vazi lake. Hapana bwana hata angekuwa wapi.
...hakuna anayehalalisha unalosema....watu wanajadili cause and effect....
 
Mavazi ya mtu au muonekano wa mtu haukupi wewe mamlaka hapa chini na mbiguni kutoa roho ya binadamu mwingine. Watu wanaua wenzao hapo TZ na wala hawanyongwi leo hii huyu binti amevaa nguo ya ufukweni ya heshima kabisa na mnahalalisha kifo chake kwa kumlaumu huyu dada. Nimesikitika sana na huu upumbavu kwa kweli. Hapa Marekani ukilala hata na mke wako kwa kumlazimisha akawaita polisi unashtakiwa kwa kurape. Na ni kifungo cha miaka zaidi ya 20.

Yaani moyo wangu unamajonzi kwa kweli huyu binti amekufa kifo cha kinyama kwa sababu ya mbwa mwitu nyamafu washenzi na watafia jela.
Umenena vyema
 
Nitakuja na maelezo ya kutosha mkuu bado nafatilia nn hasa kilitokea kwani ni habari nimeipata kwa sasa. Ila yeyote alieko arusha mwenye hizi habar atu update.
huyo dada kashiriki video ya Salome ya Ray vanny na Chibu
 
One less bi.tch to worry about. She had it coming like Nyani Gayboo.
 
Wewe unaishi nchi ipi ? Tuanzie hapo kwanza usikute upo kule ambapo mwanamke kuendesha hata gari haruhusiwi

Hivi huyo binti kavaa kipi cha ajabu hapo ? Shida yetu Watanzania ni unafki uliopitiliza

Mnataka mtetee wabakaji walio toa uhai wa mtu kisa sijui mavazi aliyovaa ?
Hilo ni liislam taaira na uneducated..achana nalo
 
Back
Top Bottom