Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Maisha yake yanaonyesha anapenda starehe kupitiliza we huoni vipicha alivyoweka insta huko? humuoni akiwa na vichupi akiogelea humo swimming pool? acha ujinga wewe huyu demu alikua anajitangaza huweziniambia mwanamke unaejiheshimu utaweka picha zako za uchi huko hata kama alikua swimming sio sahihiu kuziweka narudia tena usijifanye we mtoto wa kishua maisha ya mtu yanaelezea yeye ni nani!
MJINGA NI WEWE, MPUM'BAVU NINI BWEGE WEWE! Unashangaa mtu kuoga na chupi sasa ulitaka aoge na madela? Au kwenda kuogelea ndo kupenda starehe? Au wewe ni mara yako ya kwanza kuona picha mtu kavaa nguo za kuogelea? Pimbi wee

By the way wapi nimesema habari za kuwa mtoto wa kishua? Kama kuogelea huko kwenu ni big issue kwa wengine ni jambo la kawaida kwa usilete uboya wako hapa.
 
Tatizo Arusha hamumpi ushirikiano mkuu wa mkoa na kamati yake je usalama wenu utatoka wapi? Kazi siasa na kukosoa utendaji wa Rais
Mkuu wa polisi na watu usalama kazi yao ni kulinda raia na mali zao.
Usalama ni kushirikiana watu wote, hakuna siasa hapo. Majambazi, wezi, wabakaji hawachagui ni chama gani.
Acha ujinga!!
 
Nikikuta mwanaume analiwa na fisi nampaka mafuta atafunwe vizuriii.
Hata wewe

Mamamaaaa, roho mbaya hii umeiokota wapi wewe?...ni cute huyuhuyu nimjuaye mimi au mtu ka-hack account?
 
Ha ha ha. Ime hackiwa boss.
Sasa huyu ni Mimi.
Tatizo umezidigi kunitukana sana.
 
Macho ya wanaume wengi kwa wadada yametawaliwa na mawazo mabaya ya kingono ngono na binu binua, ushahidi ni wewe ukimuona mdada mrembo mwenye shape huwa unawaza nini, mwenzao anasomea sanaa anapokuwa anayakata mauno field jukwaani yanakodoa macho kodo, yakiwaza na kuomba siku aingie kingi yamtafune, all in all R. I. P mpendwa wetu

ule utafit wa watu wa nne unaweza kukuhusu ulichokiandika hapa ni upupu mtupu.
 
Maisha yake yanaonyesha anapenda starehe kupitiliza we huoni vipicha alivyoweka insta huko? humuoni akiwa na vichupi akiogelea humo swimming pool? acha ujinga wewe huyu demu alikua anajitangaza huweziniambia mwanamke unaejiheshimu utaweka picha zako za uchi huko hata kama alikua swimming sio sahihiu kuziweka narudia tena usijifanye we mtoto wa kishua maisha ya mtu yanaelezea yeye ni nani!
Watanzania ndio maama hatuendelei kwa kuchunguza maisha ya watu...ht km alikua anaishi maisha ya starehe kumbuka ni yy na hakumuomba mtu hata senti ht km aliomba sio ww..utampangiaje mtu jins ya kuish ww ni nan kwake hata umpangie mtu mavaz yk na kwa nn aishi kwa starehe au la! Ww changia mada km inavyotakiwa sio mara anaish hv mara vile si ni yy na sio ww na hajakuzuia ww usifanye mambo yako apige picha akiwa beach afanye nn ts her life hiini dunia ya utandawazi so watu hawawez ishi km miaka ya zaman otherwise aamue mwenyewe kina muda ufike waTZ tujali mambo yetu binafs maisha ya mtu hayatuhusu find ur own money do ur things thats all!
 
MJINGA NI WEWE, MPUM'BAVU NINI BWEGE WEWE! Unashangaa mtu kuoga na chupi sasa ulitaka aoge na madela? Au kwenda kuogelea ndo kupenda starehe? Au wewe ni mara yako ya kwanza kuona picha mtu kavaa nguo za kuogelea? Pimbi wee

By the way wapi nimesema habari za kuwa mtoto wa kishua? Kama kuogelea huko kwenu ni big issue kwa wengine ni jambo la kawaida kwa usilete uboya wako hapa.
Haya ndio yale yanayoongozwa na mfumo dume wa kipumbavu..hawana point ya msing kaz kubwabwaja upuuz tu
 
MJINGA NI WEWE, MPUM'BAVU NINI BWEGE WEWE! Unashangaa mtu kuoga na chupi sasa ulitaka aoge na madela? Au kwenda kuogelea ndo kupenda starehe? Au wewe ni mara yako ya kwanza kuona picha mtu kavaa nguo za kuogelea? Pimbi wee

By the way wapi nimesema habari za kuwa mtoto wa kishua? Kama kuogelea huko kwenu ni big issue kwa wengine ni jambo la kawaida kwa usilete uboya wako hapa.
Kama mwamwambie mkeo au dada yako alige picha akiwa na khanga bafuni halafu uje ujitete hapa

Mitanzania sijuia kwannn ni mijitu ya ajavu ivi yani unaweka uchi wako mitandaoni? yeye kama alikua anaoga kazi ni kwake sio ila picha utaweka mitandaoni
 
Hatupingi yeye kupiga hizo picha , ambacho naona hamkielewi ni kwamba kama ameona haina noma kuweka mtandaoni basi hata kuvaa hivyo hadharani hawezi kuona noma.
Hivi mmechek picha zilizo kwenye instagram page yake? Mbona pale Nguo nyingi tu kavaa ni za heshma? Tusipende kum judge mtu aliyefikwa na Matatizo kina Gigi kila siku wanakaa uchi kama lengo la wabakaji kurekebisha tabia kwanini wasiwafate kina gig Money, Amba Lulu, shilole na wenzao?
 
Watanzania ndio maama hatuendelei kwa kuchunguza maisha ya watu...ht km alikua anaishi maisha ya starehe kumbuka ni yy na hakumuomba mtu hata senti ht km aliomba sio ww..utampangiaje mtu jins ya kuish ww ni nan kwake hata umpangie mtu mavaz yk na kwa nn aishi kwa starehe au la! Ww changia mada km inavyotakiwa sio mara anaish hv mara vile si ni yy na sio ww na hajakuzuia ww usifanye mambo yako apige picha akiwa beach afanye nn ts her life hiini dunia ya utandawazi so watu hawawez ishi km miaka ya zaman otherwise aamue mwenyewe kina muda ufike waTZ tujali mambo yetu binafs maisha ya mtu hayatuhusu find ur own money do ur things thats all!
Sifatilii maisha ya mtu ila hiko kitu hapo juu labda alitapeli. Sasa mtu hana makosa atauliwaje?? we huoni kuna sababu na pia kifo chake kama kilipangwa
 
Hivi mmechek picha zilizo kwenye instagram page yake? Mbona pale Nguo nyingi tu kavaa ni za heshma? Tusipende kum judge mtu aliyefikwa na Matatizo kina Gigi kila siku wanakaa uchi kama lengo la wabakaji kurekebisha tabia kwanini wasiwafate kina gig Money, Amba Lulu, shilole na wenzao?
za heshima wapi wewe mtu kaweka vivideo vyake mle ana maana gani? kama sio alikua anatangaza biashara. yani hata haya huoni kuweka utupu wako mtandaoni? watoto, wadogo zako hadi wazaz wanatizama halaf unamsifu? usilazimishe ndugu embu tuishi utamaduni wetu wa kiafrica huko bado sana mpaka mwaka 3000.

Usikurupuke kama huyu mbugila chige
 
Mkuu umesema.vizuri kuna comment yangu imeondolewa sijajua tatizo ni kusema ukweli au la
 
Kama mwamwambie mkeo au dada yako alige picha akiwa na khanga bafuni halafu uje ujitete hapa

Mitanzania sijuia kwannn ni mijitu ya ajavu ivi yani unaweka uchi wako mitandaoni? yeye kama alikua anaoga kazi ni kwake sio ila picha utaweka mitandaoni
Niko mimi na wewe hapa... habari za mke wangu au dadangu zinatoka wapi? By the way, ikiwa mtu unaweza kuvaa nguo ya kuogelea beach ambako kuna watu, nini kinakushangaza picha za tukio kama hilo zikiwekwa kwenye social network?! Isitoshe picha unayotaka ku-justify kwamba amebakwa kwavile anatembea uchi ni hii hapa:
July.png

Hivi akili yako ipo sawa sawa wewe? Of ALL PHOTOS zilizokuwepo kwenye account yake ambazo zote amevaa as if yupo ofisini lakini uwepo wa hiyo picha na nyingine hapo juu ndo tayari inakufanya uhitimishe kwamba ni mpenda starehe anayependa kutembea uchi as if unamjua?! We wa wapi wewe? Kwanza watu kama nyinyi mnaotaka kujifanya ndo mna maadili ndio mafedhuli wakubwa wanaojificha kwenye kichaka cha kujifanya wana maadili! Look at yourself; sauti yako ni ya kiume lakini umeweka avatar ya kike... tukuhukumu kutokana na hiyo avatar yako?
 
za heshima wapi wewe mtu kaweka vivideo vyake mle ana maana gani? kama sio alikua anatangaza biashara. yani hata haya huoni kuweka utupu wako mtandaoni? watoto, wadogo zako hadi wazaz wanatizama halaf unamsifu? usilazimishe ndugu embu tuishi utamaduni wetu wa kiafrica huko bado sana mpaka mwaka 3000.

Usikurupuke kama huyu mbugila chige
Mimi na wewe nani mkurupukaji? Humjui na wala hujawahi kumuona lakini unahitimisha kwamba msichana ni muhuni na mpenda starehe simply because umeona picha yake akiwa beach... sasa kama sio ukurupukaji tuite nini?! Wewe unaonekana ni mwanaume lakini umeweka avatar ya kike; tutilie shaka jinsia yako?
 
za heshima wapi wewe mtu kaweka vivideo vyake mle ana maana gani? kama sio alikua anatangaza biashara. yani hata haya huoni kuweka utupu wako mtandaoni? watoto, wadogo zako hadi wazaz wanatizama halaf unamsifu? usilazimishe ndugu embu tuishi utamaduni wetu wa kiafrica huko bado sana mpaka mwaka 3000.

Usikurupuke kama huyu mbugila chige
Basi subiri Mungu atakuonyesha kati kati ya vizazi vyako, Muubgwana hacheki matatizo ya mtu mwingine hata siku Moja!
 
Hivi mmechek picha zilizo kwenye instagram page yake? Mbona pale Nguo nyingi tu kavaa ni za heshma? Tusipende kum judge mtu aliyefikwa na Matatizo kina Gigi kila siku wanakaa uchi kama lengo la wabakaji kurekebisha tabia kwanini wasiwafate kina gig Money, Amba Lulu, shilole na wenzao?
Nimeipitia account yake back 30 MONTHS AGO! In short sio nguo nyingi kavaa kiheshima bali karibu zote except matukio mawili tu ambayo yote yupo beach! Na hata nguo zenyewe alizovaa beach kwa kuangalia viwango vya beach watu wanavyopenda kujiachia, bado na zenyewe ni za kawaida sana lakini mtu anatoka huko anadai oh, yule msichana anaonekana muhuni na mpenda starehe! Yaani mtu kwenda beach anaonekana ni mpenda starehe... ama kweli ushamba mzigo!!
 
Back
Top Bottom