Mhh, ina maana alikuwa anawashawishi wabakaji?Napinga Sana ubakaji ila mama aliniambia hivi siku moja: ukipita uchochoroni usiku na vibaka wakakukaba kabla hujawalaumu hao vibaka jilaumu wewe kwa kupita njia hatarishi!
Kwa life style ya Huyo marehemu(r.I.p) ya kuacha tu mapaja nje, kujiweka karibu na vidume, nk. kuna mchango wake mkubwa wa kubakwa kwake!
Unamaanisha nini?Hamna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke kweli.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Sio tu Marehemu hasemwi lakini alichosema hakipo manake amem-judge kwa kuangalia picha aliyopiga beach... sasa sijui ni wasichana wangapi wanavaa madela wakiwa beach.
mhhh kweli alishiriki wimbo wa diamondIs it true?!
Ndio huyo
Hakuna kosa alilofanya marehemu kuhalarisha unyama huu, na watu wote wanaotaka kumlaumu marehemu ni wahuni, washenzi, wabakaji na wenye roho mbaya sana.
JamiiForums huijui wewe... C'oooonMkuu am speechless na baadhi ya kauli za humu, na kufikia mpaka kuweka picha ya marehemu. Ukizingatia huyu ni binadamu mwenzetu, na wote tunaelekea kumoja ila kwa njia tofauti.
Watu wamekuwa Wanyama wabaya sanaIlikuwaje hadi akabakwa huyo Dada?
R.I.P
Hakuna anayetetea ubakaji hapa, tunazungumzia vichocheo vya tukio, bint mrembo halafu mchanga kama anavyoonekana unafikiri rijali gani anaweza pishana naye asigeuke kuona alichojaaliwa nacho, baada ya hapo nini kitafuata?
Hao sio wengi hata. Sehem nyingine KAYA nzima inasalia sero lengo ni kuwa squeeze waseme chochote wanachokijua!watu 30 wamekamatwa....................hapa kuna namna,haiwezekani wakamatwe wengi hivyo,
Acha upuuzi. Ndiyo abakwe hadi kufa? Hivi unadhani kifo kwa tendo hilo unaona ni kitu kidogo hivyo. Ni unyama mkubwa sana ambao mnatetea. Hakuna sababu yoyote kubwa ya kuhalalisha kuondoa uhai wa mtu kwa njia kama hizi