Mbona watu wanatafuta justification za kijinga kwamba "picha zake?" Ni picha gani hapo inayowashitua nyinyi? Hiyo ya beach, au? Hivi mtu unaweza kusema "huyu anavaa vibaya" kwa vazi kama hilo na kwa sehemu aliyokuwapo? Mmejaribu kutembelea account yake ya Facebook mkaangalia dressing yake ilivyo?!
Madada wanapenda sana kukaa uchi Instagram... account yake hii hapa:
Juliana Isawafo. Tembeleeni muone kama anafanana na hayo madai yenu kwamba "uvaaaji wake" kauli mnayolenga kutaka ku-justify ushenzi aliofanyiwa.