Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Msiwe wa nafiki angalie alivyo ni kielelezo tosha kubakwa kwake ni mazingira yake aliyojijengea.
Unapita mazingira hatarishi usiku na viguo vya maajabu unategemea nini
Umejuaje amepita eneo hatarishi usiku wakati habari haijakamilika na hakuna taarifa kamili ya jinsi ubakaji ulivyofanyika na watuhumiwa ni kina nani?
 
12919893_880470088728344_5316510011606374180_n.jpg


meoeo jualiana ana maadulu na mavazi ya heshima MUNGU akupumzishe mahali pema peponi
 
Inasikitisha sana pole sana kwa familia yake
 
Sipendi unafiki wanawake mnasababisha wenyewe tamaa ya kubakwa unatembea uchi ukionekana mtaani wahuni wanadhani wewe ni kahaba jaribu kujistahi.
Poleni wafiwa


Una laumu aliye bakwa na sio wabakaji? unasema tuzishike amri za bwana, kwa hiyo wabakaji ndo hawatakiwi kuzishika amri za bwana?...hueleweki!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana sana Mungu akusamehe dhambi zako akuweke mahala pema peponi. Wanaume waliofanya hili jambo natamani kufahamu kinagaubaga kabla sijashusha hukumu yangu.

Hata wanawake wanafanya mambo maovu sna siwezi kuwatetea
 
Napinga Sana ubakaji ila mama aliniambia hivi siku moja: ukipita uchochoroni usiku na vibaka wakakukaba kabla hujawalaumu hao vibaka jilaumu wewe kwa kupita njia hatarishi!
Kwa life style ya Huyo marehemu(r.I.p) ya kuacha tu mapaja nje, kujiweka karibu na vidume, nk. kuna mchango wake mkubwa wa kubakwa kwake!
Umejuaje kwamba ana tabia ya kuacha mapaja nje?! Unamfahamu personally au umem-judge kwa kuangalia hiyo picha hapo juu ambayo exactly mazingira ya sehemu husika yanaruhusu kuwa mapaja nje?! Kama umem-judge kwa kuangalia hiyo picha, unaweza kusema pia ana tabia ya kutembea na slippers kama anavyoonekana kwenye picha husika?
 
picha zake zina ukakasi wa maadili. hata hivo kitendo cha kukamata watu 30 kwa tukio moja kunaonesha ukakasi mwingine wa weledi wa jeshi la polisi.uhalifu wa kundi kubwa ni maandamano. kwa teknolojia ya dna mbegu za kiume ndani ya mwili wa marehemu ni rahisi mno kuwapata wahalifu.
 
Mbona watu wanatafuta justification za kijinga kwamba "picha zake?" Ni picha gani hapo inayowashitua nyinyi? Hiyo ya beach, au? Hivi mtu unaweza kusema "huyu anavaa vibaya" kwa vazi kama hilo na kwa sehemu aliyokuwapo? Mmejaribu kutembelea account yake ya Facebook mkaangalia dressing yake ilivyo?!

Madada wanapenda sana kukaa uchi Instagram... account yake hii hapa: Juliana Isawafo. Tembeleeni muone kama anafanana na hayo madai yenu kwamba "uvaaaji wake" kauli mnayolenga kutaka ku-justify ushenzi aliofanyiwa.
 
Back
Top Bottom