Wanabaka ili watimize hamu zao za kimwili ambazo zinachochewa na wanawake wasiojisetiri ipasavyo kama staili ya mavazi ya marehemu (RIP). Unakuta mwanamke amevaa nguo iliyoacha sehemu kubwa ya mwili wake nje kama mapaja, tumbo, matiti, mabega, nguo nyepesi zinazobana makalio mpaka kuonyesha nguo za ndani n.k; halafu anapita au yuko maeneo hatarishi vichochoroni, sehemu za vilevi, tena nyakati mbaya; anataka nini au anamkoga nani? Akamkoge mmewe au hawara yake chumbani, akijizagalisha kitaa atapewa mambo. Heri apewe mambo na asiowajua, akiwatambua watampa mambo na kumtoa uhai. Wanawake kuweni makini, mchezo wenu mauti yenu.