Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Mzee mmoja ajulikanae kwa jina la Daniel Epiniel ambaye ni mpangaji katika nyumba ya Bwana Joseph Mollel iliyopo Kata ya Sekei jijijini Arusha, anashikiliwa na Polisi baada ya kutuhumiwa kuwarubuni watoto wadogo wa kiume chini ya umri wa miaka 10 wamwingilie kinyume na maumbile.
Mwenye Nyumba Joseph anasema amekuwa akiona watoto wanaingia chumbani kwa huyo Mzee na kujifungia chumbani kwa Muda mrefu ndipo walipopata wasiwasi juu ya mzee huyo na kufanya uchunguzi kwa kupitia watoto hao .
Mke wa Joseph juzi alipoona mtoto ameingia chumbani kwa mzee huyo na kujifungia nae ndani alisubiri hadi alipotoka chumbani na kumuuliza mtoto huyo alikuwa anafanya nini huko chumbani kwa Babu ndipo alipoanza kulia na kuanza kueleza ukweli wa alichokuwa anafanya na mzee huyo kuwa mzee huyo huwa analala uchi kitandani na kuwaambia wamwingilie kinyume na maumbile pamoja na kumshika shika sehemu za siri.
Babu huyo alipohojiwa amekiri kweli kuwaomba watoto hao wamwingilie na anasema jumla ya watoto aliowashawishi wamwingilie sio wengi bali ni watoto sita tu.
Soma Pia: Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti
Balozi wa shina hilo Nicko Mollel amethibitisha kutokea kwa tukio hilo katika eneo lake na kusema kuwa Mzee huyo amekuwa akiwapa watoto hao pipi na hela.