Arusha na Dar es Salaam sio miji ya kutafuta upendo wa kweli, hiyo ni miji ya "utafutaji" maisha

Arusha na Dar es Salaam sio miji ya kutafuta upendo wa kweli, hiyo ni miji ya "utafutaji" maisha

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
đŸ‘‰Hii miji imekaa kitapeli tapeli inapofika kwenye swala lz mahusiano Kila mtu kamtarget mwenzake be carefully

đŸ‘‰Linda moyo wako, nguvu zako zote, pesa na muda wako

đŸ‘‰Dares-Salaam na arusha ni kwa ajili ya biashara tu na si vingine
 
Wakuu habari zenu hapa . Hivi na ninyi mmebadilishiwa future kama mimi? tafadhali naomba nipazieni sauti kwa mods
 
Mi nimepigwa tukio juzi na Mmarangu mmoja ...aisee wanasura nzuri lakini roho ni ya kikatili sana nazani aliyewafundisha mapenzi ni ibilisi halisi
 
Back
Top Bottom