Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Hiyo namba moja ndio inaharibu hali ya kiroho na kuharibu familia nyingi1. Matambiko
2. Kupeana connection
3. Kupeana mirejesho
Ukitaka ithibati zaidi ni rahisi sana unaingia NBS.. Nadhani tujifunze kuepuka kulishwa kutafuniwa kisha kimezeshwa.. Kujisomea kunakupa maarifa ya ziadaHii ripoti nayo haijielezi vizuri, mkoa wa Arusha uliongoza ukifuatiwa na mkoa upi wenye matukio mangapi?
Hiyo jumla waliyoiweka hapo bado haitoi majibu ya uhakika ili tuthibitishe hii hoja.
Hizo hasira zilichanganyikana na vingi vya kitamboDaah umenikumbusha aisee kipindi nasoma Arusha kuna story nilizisikia za wazungu kuuwawa na raia kikatili maeneo ya Tengeru(sadec)sababu ikiwa raia wanataka kurudisha maeneo hali hiyo ilipelekea mpaka muwekezaji kukimbia kuna baadhi ya wazungu nasikia hadi uume walinyofolewa serikali nasikia iliingilia kati kupitia tukio hilo wanasemaga kuna laana na mikosi inawakutaga sana.nafikiri kuna baadhi ya member humu wanaweza kuuleza story hii vzr
Wabongo wanapenda kuhusisha kila kitu na imani zao za kiroho.Matukio yanayotokea Arusha yanatokea nchi nzima na duniani kote, viwango tu ndio vinatofautiana, Fuatilia Mexico, Haiti, South Africa.
Hakuna mambo ya kiroho wala nini, tatizo ni utawala tu, uchumi na mambo mengine yanaweza kuthibitishwa na criminology.
Ukija na uzi uwe umejitosheleza, tafuta taarifa kwenye vyanzo vilivyokamilika usimpe kazi msomaji akatafute, vitatafutwa vingapi humu ndani.. kama ikiwa hivyo hii JF itageuka homework.Ukitaka ithibati zaidi ni rahisi sana unaingia NBS.. Nadhani tujifunze kuepuka kulishwa kutafuniwa kisha kimezeshwa.. Kujisomea kunakupa maarifa ya ziada
Ukiona hujaridhika ni kilichoandikwa popote unatafuta taarifa zaidi kwenye vyanzo tajwa na vingine
Waache kumtafuta mchawi wanajimaliza wenyeweHasa matambiko ya damu ambayo ni maarufu sana ukanda huo
Hizo ni tamaduni na mila na desturi tangu kale zinaharibu kivipi thibitishaHiyo namba moja ndio inaharibu hali ya kiroho na kuharibu familia nyingi
Huo ni utamaduni ma mia ya miaka na miakaHasa matambiko ya damu ambayo ni maarufu sana ukanda huo
Hata ibada za kuchinja za dini kubwa ni matambiko tu.Hasa matambiko ya damu ambayo ni maarufu sana ukanda huo
Nadhani nimeandika kwa muktadha wangu na sikupangiwa dodoso namna ya kuandika.. Kwahiyo silazimiki kufuata matakwa ya mtu ambaye hajaridhishwa na kile nilichoandikaUkija na uzi uwe umejitosheleza, tafuta taarifa kwenye vyanzo vilivyokamilika usimpe kazi msomaji akatafute, vitatafutwa vingapi humu ndani.. kama ikiwa hivyo hii JF itageuka homework.
Acha "dhana" njoo na facts.
Binadamu anayekuzwa kwenye dini/ superstitions ni vigumu sana kumtenga na mambo hayo, ila sasa hivi engalical christians ndio wamezama kabisa katika superstitions kwa kila jambo.Wabongo wanapenda kuhusisha kila kitu na imani zao za kiroho.
Huu ujinga sijui utaisha lini.
Wanasema palipo na uovu mwingi kuna Neema pia.Matukio mengi ya kutisha na kushangaza mkoani Arusha yanatafsiriwa na jamii kwa mitazamo miwili tofauti
imani za kiroho/giza (kama vile ushirikina na laana) na sababu halisi za kijamii na kisaikolojia.
Mkoa wa Arusha umekuwa ukigonga vichwa vya habari kwa matukio ya ukatili uliopindukia, ikiwemo mauaji ya kutumia silaha kali kama visu, visasi vya kinyama, na ukatili wa kijinsia.
Ripoti za hivi karibuni za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) hata zinautaja mkoa huo kuongoza kwa matukio ya ukatili kwa watu wazima.
Ninini kinachoendelea nyuma ya matukio haya?
Ukigawanywa katika mitazamo ya kiroho na uhalisia wa kijamii Utagundua yafuatayo..
1. Mtazamo wa Kiroho na Imani za Giza
Katika fikra za wenyeji na watu wengi wa kiroho, mfululizo wa matukio ya kinyama Arusha unahusishwa na mambo yafuatayo:
"Roho ya Umwagaji Damu" (Laana ya Ardhi)
Kuna imani kwamba baadhi ya maeneo yana vizuizi au "madhabahu za giza" zilizojengwa kutokana na historia ya visasi au umwagaji damu wa tangu zamani.
Damu inayomwagika inatajwa "kuisumbua ardhi" na kuvuta roho za hasira na ukatili.
Ushirikina na Kupatwa na Pepo
Baadhi ya mauaji ya ajabu (kama ya ndugu wa karibu au watu kukatwa viungo) mara nyingi huhusishwa na imani za kishirikina za kusaka utajiri wa haraka au nguvu za giza.
Mmomonyoko wa Hofu ya Mungu
Viongozi wa dini mkoani humo wanasisitiza kuwa jamii imegeuka nyuma na kuacha misingi ya kiroho, jambo linalofungua milango kwa nguvu za uovu kutawala akili za vijana.
Muktadha ukidhi vigezo kumpa mchangiaji uhuru wa kutoa maoni yake, sio muktadha wa kumuachia mchangiaji homework.Nadhani nimeandika kwa muktadha wangu na sikupangiwa dodoso namna ya kuandika.. Kwahiyo silazimiki kufuata matakwa ya mtu ambaye hajaridhishwa na kile nilichoandika
Dan! 😀 yani mpaka sasa hujachangia kwakuwa uzi kwakuwa habari iko nusu.. Seriously hii kali sana😀Muktadha ukidhi vigezo kumpa mchangiaji uhuru wa kutoa maoni yake, sio muktadha wa kumuachia mchangiaji homework.
Mpaka sasa bado sijachangia uzi coz umeqndika habari nusu, next time uje na taarifa kamili, uipime ikikidhi vigezo ndio ipandishwe hapa, sio kuipandisha kisha mchangiaji akatafute added informotion!.