Kweli nilikuwa sijachangia bado, unless ungetoa hiyo statistic ya NBS ambayo iko nusu then useme hii mada ni mawazo yako binafsi, hapo ndio ningechangia.Dan! 😀 yani mpaka sasa hujachangia kwakuwa uzi kwakuwa habari iko nusu.. Seriously hii kali sana😀
Naomba nikushauri kitu denoo G ili kuepusha haya malumbano yote hii mada ipuuzie tuu
Hii itatusaidia sote kutopotezeana muda
Kuna vitu unachanganya hapa..Kweli nilikuwa sijachangia bado, unless ungetoa hiyo statistic ya NBS ambayo iko nusu then useme hii mada ni mawazo yako binafsi, hapo ndio ningechangia.
Huo mfano wako huo....!!Kuna vitu unachanganya hapa..
Nimeandika hivi:
Ripoti za hivi karibuni za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) hata zinautaja mkoa huo kuongoza kwa matukio ya ukatili kwa watu wazima.
Hilo sio langu ni ripoti rasmi ya NBS.. Muktadha wangu sio kuweka top 3 ama top 5 nk..
Sasa muda wote tunalumbana ili niweke top 2 au 3 😂 ..huu sio muktadha wa mada yangu
Hata hivyo umenikumbusha kisa kimoja cha kushqngaza sana
Mtu mmoja akiwa anatembea njia yenye ukimya akiwa peke yake, akastukia amechomwq mshale na mtu asiyejulikana
Basi wapita njia wakamuona na kumuwahisha hospital
Kufika hospital akawaambia madaktari asitibiwe kwanza mpaka apate majibu ya maswali yake
Nani kamchoma?
Kwa sababu gani?
Ni jinsia gani?
Alikusudia nini?
Alikuwa umbali gani? Nknk
Huyu sijui kama alipona😀Kuna vitu unachanganya hapa..

Arusha: Inashika nafasi ya kwanza kitaifa kwa idadi kubwa ya matukioKweli nilikuwa sijachangia bado, unless ungetoa hiyo statistic ya NBS ambayo iko nusu then useme hii mada ni mawazo yako binafsi, hapo ndio ningechangia.
1. Arusha: Inashika nafasi ya kwanza kitaifa kwa idadi kubwa ya matukio.Huo mfano wako huo....!!
Statistics kwa upande wangu ingefaa ili;
Nichukue moja nitoe mbili nijue jibu lingekuja ngapi ili nichangie mada kwa namna yangu.
Na kwasababu ulianza na statistics, basi ningependa iwepo atleast top two, ili twende sawa..
But hamna, ni moja tu, so, hesabu yangu imegoma kufanyika.
Mchana Mwema mshana.
Ishu ya jamii za Wafugaji sio kula nyama bali zimejengeka katika utaratibu wa kupigana kuiba mifugo na kulinda mifugo isiibiwe au kuliwa na wanyama wengine pamoja na vita vya kupanua himaya za malisho.Tatizo ni vyakula hasa nyama hizi za kuchoma, hizo nyama amini kweli zinafanya watu wanakuwa na hasira . Tafuta jamii yoyote ile ya wafugaji uone walivyo na hasira za ghafla
Vibaya sana ndugu kupoteza mpendwa wao kizembe 😃Alikufa tukala biriani na pilau🤣
https://www.facebook.com/Vibaya sana ndugu kupoteza mpendwa wao kizembe 😃