Hata Mimi nlikua Dar ila nlichoshangaa washkaji zangu walikua Kila wakitoka Arusha wanakuja na magari mapya ase nkasema hii Dar siyo ya Kila mtu πWakuu habari zenu? Kuna hoja apo juu kwa upande wangu katika kuzunguka huku na huko nimekuja kupata majibu kwamba Arusha na Mwanza ni miji ambayo ukikaza kujitafuta unajipata.
Nilikua na washikaji wanaishi Dsm wakati huo me nipo kaskazini, wakanishawishi kuamia dsm kweli bana nikasogea jiji la karaha inshort kwa upande wangu dar kujitafuta sio easy gharama za makazi usafiri ni kubwa sana. Dar ya 2012 na ya sasa 2025 vitu viwili tofauti
Hongereni mliojitafuta dar na makjipata