Arusha : Nimeshangaa sana kumkuta jamaa anakunywa Konyagi kwa kutumia kikombe cha bati

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Imezoeleka /mara nyingi pombe hasa Konyagi humiminwa na hunywewa kwenye glass ikiwa na kipande cha limao au barafu.

Nimeshangaa sana kumkuta jamaa anakunywa konyagi anaimimina kwenye kikombe cha bati.Na anaipiga safi tu bila shida.

Akianza kulewa nitawaambia.
 
Halafu siku nyingine ukitaka kushangaa nenda kashangae posta utakuta jibaba zima linalamba stempu lakini haina utamu
 
bora ungefuata shughuli zako.......
 
Back
Top Bottom