Arusha : Nimeshangaa sana kumkuta jamaa anakunywa Konyagi kwa kutumia kikombe cha bati

Arusha : Nimeshangaa sana kumkuta jamaa anakunywa Konyagi kwa kutumia kikombe cha bati

Imezoeleka /mara nyingi pombe hasa Konyagi humiminwa na hunywewa kwenye glass ikiwa na kipande cha limao au barafu.

Nimeshangaa sana kumkuta jamaa anakunywa konyagi anaimimina kwenye kikombe cha bati.Na anaipiga safi tu bila shida.

Akianza kulewa nitawaambia.

Hebu imba niskie! Imba [emoji23]
 
Back
Top Bottom