Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Sindano imeingia?Mleta thread unazingua..
Halafu siku nyingine ukitaka kushangaa nenda kashangae posta utakuta jibaba zima linalamba stempu lakini haina utamuImezoeleka /mara nyingi pombe hasa Konyagi humiminwa na hunywewa kwenye glass ikiwa na kipande cha limao au barafu.
Nimeshangaa sana kumkuta jamaa anakunywa konyagi anaimimina kwenye kikombe cha bati.Na anaipiga safi tu bila shida.
Akianza kulewa nitawaambia.