ARUSHA.......... Ntarudi tena wallah!!!!!

ARUSHA.......... Ntarudi tena wallah!!!!!

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Ile ban nlojipiga,
Nkaenda zangu Arusha,
Nkakutana na Preta,
Sweetlady Wiselady,
Lily Flower na nani?
Blaki Womani mweupe

Arusha ntarudi tena walah........

Nikanywa na PakaJimmy
Liverpool na Filipo,
Mzee Wa Rula Pembeni
Voice of Reason ikaja

Na mwingine nani tena? Hivi nimesema binamu?

MTK bar na Mianzini
RIP Makaburini,
Shivaz na Picnickini
Kijenge Kaizarini
Kwa Mromboo hatarini.....

Na kwingine wapi tena? Sijasema tripo Ei?

Nikilila tena ban. nikapata na nauli,
Kamwe siendi nyumbani, na kitandani silali.

Arusha nitarudi, nrarudi tena wallah.

Ahsanteni kwa kunisikiliza.
Mungu ibariki Arusha.
Wabariki na watu wake.
Amina.

ODM anarudi kitandani kuzimua
 
karibu bana,........ukija njoo na rafiki yako
 
Rafiki yangu wa kiume au wa kike?
<br />
<br />
Mkuu! Salaam ze2 wapelekee hao ndg ze2 na usisite kuwahabarisha yote yale uliyoyaona hp A town ya live bila chenga hata. Karibu tena na tena na huyo best utakayemleta mi ningependelea awe wa (KE)! Usimwache!
 
Back
Top Bottom