dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,483 Oct 23, 2020 #1 Wakuu, hii kikatiba imekaaje?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Oct 23, 2020 #2 dubu said: Wakuu, hii kikatiba imekaaje? View attachment 1609129 Click to expand... Sabotage
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,258 Reaction score 10,014 Oct 23, 2020 #3 Haikihusu, barua sio yako Subirini dawa iwakolee hadi mpeleke malalamiko kwa mababa zenu Marekani sisi tumeshavuka 28 Oktoba. Hapa lengo ni kumpiga kibaraka wa Wazungu na ushoga
Haikihusu, barua sio yako Subirini dawa iwakolee hadi mpeleke malalamiko kwa mababa zenu Marekani sisi tumeshavuka 28 Oktoba. Hapa lengo ni kumpiga kibaraka wa Wazungu na ushoga
R roncher Senior Member Joined Oct 15, 2020 Posts 138 Reaction score 143 Oct 23, 2020 #4 Upinzani bila kuungana kwa dhati pasipo hila mioyoni mwao wataendelea kugalagazwa kwa miaka mingi na kisingizio kitabaki polisi na tume ya uchaguzi.
Upinzani bila kuungana kwa dhati pasipo hila mioyoni mwao wataendelea kugalagazwa kwa miaka mingi na kisingizio kitabaki polisi na tume ya uchaguzi.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Oct 23, 2020 #5 Baadaye Utawasikia Wakijinadi Eti Hao Wote Ni Wanachama Wa Kijani!! Acheni Watu Waje Wenyewe Mnatumia Njia Duni, Mara Mnawapa Wanafunzi T-shirt. Zungu Naye Anamwaga Sera Chekechea
Baadaye Utawasikia Wakijinadi Eti Hao Wote Ni Wanachama Wa Kijani!! Acheni Watu Waje Wenyewe Mnatumia Njia Duni, Mara Mnawapa Wanafunzi T-shirt. Zungu Naye Anamwaga Sera Chekechea
kwembe87 JF-Expert Member Joined Jan 2, 2017 Posts 741 Reaction score 677 Oct 23, 2020 #6 dubu said: Wakuu, hii kikatiba imekaaje? View attachment 1609129 Click to expand... Taasisi na mashirika ya umma wameandikiwa barua Leo kuhudhuria kampeni za mgombea kutoka ccm wakati cdm haikuwa ivyo
dubu said: Wakuu, hii kikatiba imekaaje? View attachment 1609129 Click to expand... Taasisi na mashirika ya umma wameandikiwa barua Leo kuhudhuria kampeni za mgombea kutoka ccm wakati cdm haikuwa ivyo