Arusha pamenuka: Karatu sec wagoma! Mabomu yalipuliwa, Shule yafungwa, haijulikani itafunguliwa lini


Unataka kusema sisi magwanda hata tukishinda ubunge tunaendeleza kampeni tu badala ya kuwahudumia wapiga kura wetu, siyo?!
 
duuu big up sana imenikumbusha enzi za tosa boys haki inatafutwa haiombwi
 
Maisha ya shule tabu sana Mungu atawasaidia na bado tunahoji ufaulu wetu unashuka kwa sababu gani?
 
Nyi andamaneni tu, necta itawafunza.
 
Nyi andamaneni tu, necta itawafunza.

Watu wamebadilika bwana! Sio wa zamani kama wewe! Na kumbuka kwamba haki haitafutwi kwa kufunga midomo au kuongea tu, VITENDO smtymz vinahitajika.. Hakutakuja kutokea mabadiliko nchini kama watu hawatadai haki yao kwa vitendo.. Na kumbuka kama akili zipo, zipo tu NECTA HAITUPI HOFU....[Jamani nipo nyumbani sasa hivi]
 

poleni sana madogo. Huu mwezi wa 11 karatu inaelekea kuwa wa kawaida kwa migomo. Tudai haki zetu kwa njia yoyote ile maadam tunaamini tutapata. Ukitaka amani upewe haki yako na amani hupatikana hata kwa ncha ya upanga. Hivyo haki pia. Hata sisi leo udsm kitanuka tu baadae.
Songoi atastaafu lini?
 
Kikubwa ni kuwa wanafunzi wamefanya mgomo kama sio maandamano kupinga hali ngumu ya maisha hapo shuleni,kupat msosi ni mpaka uwe mbabe au utoe kitu kidogo au utaajua utakapopat chakula.maji ni tabu kupatokana kwani gari la shule sometimes halina mafuta wala matanki ya kufuata maji sehemu yalipo hawana.mkuu washule kufanya kama shule ni taasisi yake binafsi,walimu kutokufuata ratiba ya masomo,au hakuna kufundishwa kabisa,kwa ujumla hali ni mbaya kwenye hile shule kwani mzingira ni chakavu sana shule hajafanyiwa matengenezo muda mrefu kama sio tangu enzi za uhuru.serekali kweli imeshindw a kusimamia majukumu yake,haya ndio matokeo ya kila mtu kuchukua chake mapema,wafanyakazi mishahara hakuna,walimu ndio hivyo tena bila mishahara hakuna kwenda choo kwani hawana marupurup mengine zaidi ya kulamba chaki,kwa mwendo huu hakuna atakae acha kuandamana hata nyie mnaojifanya mko kwenye system zamu yenu inakuja,mtaandamana tu.
 
Chadema wasipoangalia watalikosa jimbo hili mwaka 2010
 

Hii ni shule ya serikali, taasisi au mtu binafsi? Tueleweshe tafadhali!!!

Tiba
 
Massai inasikitisha sana nilishuhudia hizi vurugu machalii walikuwa wanaandama kwenda kwa Mkurugenzi wa Halmashauri.............. Polisi wakatokea na kuwapiga mabomu ya Machozi na wengine kupatiwa kupigo cha nguvu mpaka kuvunjika miguu........OCD wa huku hana busara kabisa wanafunzi walitaka kumuona Mkurugenz wamweleze matatizo yao wao wanachojua kila mkusanyiko hata kama ni wa amani ni mabomu tu na virungu awaliniudhi sana
 
Kwa mara nyingine tena nimeweza kushudia kwa macho yangu OCD asiye na akili wala busara,kuwapiga mabomu watoto wadogo wasio na silaha wala mabango ni kitendo cha aibu sana.

Inaonekana wazi kabisa jinsi serikali kwa sasa ilivyojipanga kujihami dhidi ya jambo lolote linaloonekana kuhoji juu linaloweza kuzorotesha upatikanaji wa maslahi binafsi.
 
Mzee Songoi anafanya kazi yake!kwa sababu amekaribia kustaafu hataki sikiliza na kutatua matatizo ya wanafunzi!wanafunzi wamepigwa sana na polisi na wengine wamevunjwa mikono nk.
 

Nashukuru mkuu! Ole Songoi anasiku kama 30 tu za kustaafu.
 

Nashukuru kwa kuliona hilo, Yaan huwez amini... 2napigwa kwa kutafuta haki ye2.
 
Hii ni shule ya serikali, taasisi au mtu binafsi? Tueleweshe tafadhali!!!

Tiba

Serikali mkuu! Lakini ilichukuliwa kutoka Kanisa la LUTHERAN ,ndo serikali inamilik kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…