Kikubwa ni kuwa wanafunzi wamefanya mgomo kama sio maandamano kupinga hali ngumu ya maisha hapo shuleni,kupat msosi ni mpaka uwe mbabe au utoe kitu kidogo au utaajua utakapopat chakula.maji ni tabu kupatokana kwani gari la shule sometimes halina mafuta wala matanki ya kufuata maji sehemu yalipo hawana.mkuu washule kufanya kama shule ni taasisi yake binafsi,walimu kutokufuata ratiba ya masomo,au hakuna kufundishwa kabisa,kwa ujumla hali ni mbaya kwenye hile shule kwani mzingira ni chakavu sana shule hajafanyiwa matengenezo muda mrefu kama sio tangu enzi za uhuru.serekali kweli imeshindw a kusimamia majukumu yake,haya ndio matokeo ya kila mtu kuchukua chake mapema,wafanyakazi mishahara hakuna,walimu ndio hivyo tena bila mishahara hakuna kwenda choo kwani hawana marupurup mengine zaidi ya kulamba chaki,kwa mwendo huu hakuna atakae acha kuandamana hata nyie mnaojifanya mko kwenye system zamu yenu inakuja,mtaandamana tu.