Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,856
Arusha Poetry Club wanawaalika wapenzi na wadau wa ushairi na lugha katika tamasha la ushairi litakalo fanyika katika eneo la Themi living Garden siku ya jumapili tarehe 28 mwezi wa April kuyanzia saa tisa kamili hadi saa kumi na mbili za jioni.
hakuna kiingilio ni buuureeee.
Nyote mnakarishwa.
hakuna kiingilio ni buuureeee.
Nyote mnakarishwa.