ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

Sasa Kama hakupendi unamlazimisha?
Uwe kijana,uwe mtu mzima mapenzi yakisha Isha Basi Tena,wanawake hawajawahi kueleweka.
Kama hutaki unaacha.
 
Sababu mke wa MTU hana gharama zaidi ya Nauli nakulipia guest tu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Kama hakupendi unamlazimisha?
Uwe kijana,uwe mtu mzima mapenzi yakisha Isha Basi Tena,wanawake hawajawahi kueleweka.
Kama hutaki unaacha.
Kweli kuna kipindi hata uwe mtu mzima akili hufika mwisho mapenzi ya kuwekana ndani polis ujue ndoo kikomo
 
Kwa nini umehifadhi jina la muuaji we ni bure kabis shwaini
 
Ukibaini mke si mwaminfu katika ndoa, uamuzi ni kukaa pembeni kuepusha msongamano. Vinginevyo utapata matatizo au kifo.
 
Kwa iyo uyo kamanda wa mkoa kaamua alinde wauwaji!Jeshi la police linahitaji reform kubwa sana kwa sababu ya kuajiri watu waliofeli mashuleni
 
Hongera sana Askar kwa kufanya kazi iliyotukuka. Kama raia alikuwa na nia ya kumjeruhi askar mwenye bunduki maana yake alikuwa anataka kumnyang'anya askar bunduki. Nadhani askar kafanya kaz nzur sana. Apigiwe makofi tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…